samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,237
- Thread starter
- #41
Na kweli akikua ataelewa utafutaji wa helaukikua ndo utaijua siri nzito nzito za maisha
Na kweli akikua ataelewa utafutaji wa helaukikua ndo utaijua siri nzito nzito za maisha
Wengine kulala na mama zao yaani utajiri una meengi
Mi naona wale wanajihanithi ni nafuu
Hapafai huko mkuu yaani utakuwa tajiri Ila jiandae Kuua ndugu zako na ukija kuvunja masharti utafirisika mbaya.
HHiyo ya namba kuishia zinazofanana unataka kutuaminisha hata yule jamaa wa Kugis? Sababu magari yake mengi yanaishia na namba tano 5.Zamani kulikua na tajiri mmoja wa mabasi na malori inasemekana naye alipitia huko ngende . Namba za magari yake yote ziliishia na 69 . Sijui yupo wapi huyo jamaa!
HHiyo ya namba kuishia zinazofanana unataka kutuaminisha hata yule jamaa wa Kugis? Sababu magari yake mengi yanaishia na namba tano 5.
Usione watu matajiri kuna mambo makubwaHiyo ya kula mayai yako (kumuoa mwanao) kuna mzee mmoja tajiri ana mifugo/ng'ombe kibao lakini ameshamzalisha binti yake watoto watatu.Sasa hapo ni wazi kabisa masharti ya mganga yamemwelekeza hivyo