Masharti ya mganga ili uwe tajiri

Masharti ya mganga ili uwe tajiri

Kuna wanapata utajiri kwa masharti ya kulala chini ,au kutovaa viatu,wengine kutafuna mabinti zao (tendo la ndoa) n.k waweza ongezea mengine
ila ni utajiri wenye mateso.
wengine hakuna conjugal service
 
Waganga ni wezi saana na waongo nasema.. eheh nastory nao aiseee wapuuzi hawa.. nikaamua nimtapeli yeye mwenyewe na mpk leo nasongesha tuu
 
Wenginw kutembea na nyoka kwenye mikoba yao, wakienda kupata kitoweo wanatoa na kuwaacha wamwingie mwanamke aende akafanye anayotumwa kufanya kupitia katika nanihii

Kweli kuna mengi, ni uchaguzi wao ukiwa na nguvu za Mungu chochote wanachotaka kujaribu kupitia kwako watashindwa.
 
Na wa kuoza kichwani yaani funza wanakuwa wanatembea kichwani maisha yao yote wakiwa matajiri wanavaa kofia kuficha uozo na funza kuonekana.

Aaagh maisha hatari.
 
Mie mganga aliwahi kuniambia nimtongoze dada'angu, nimpeleke akiwa kishakubali hivyo akifika yeye ni kukanyaga tu...sikurudi kwake tena. Mwingine akaniambia nilale juu ya mti, kweli usiku ulipofika nikapanda mtini, nikalala nimening'inia...ilipofika kama saa sita hivi nikasema hu ni useng*e, nikarudi zangu kwenye sita kwa sita yangu.
haaaaa haujawahi juta kutotimiza masharti
 
Ile ya kulala makaburini na kukutana na wafu sijui mizimu wengi wanafanyaga pia, usione mtu anapita makaburini usiku anakuwa na yake yaliyompeleka.

Ila wakiingia hayo na kutotii masharti wanateseka, kiukweli bora mtu utafute tu maana kifo au masharti hayaishi.

Hata yale ya kuambiwa uue unaowapenda na hauwezi danganya eti unataja mtu asiye rohoni mwako so ndugu zako ndio hao....haiishi mara moja inaendelwa hadi ufe wewe usipotiiii

Mkimbilieni Mungu ndio chaguo zuri.
 
Wengine wanaambiwa kila mwisho wa mwezi apeleke Tsh 10 kwa mganga.
 
Last edited:
Ile ya kulala makaburini na kukutana na wafu sijui mizimu wengi wanafanyaga pia, usione mtu anapita makaburini usiku anakuwa na yake yaliyompeleka.

Ila wakiingia hayo na kutotii masharti wanateseka, kiukweli bora mtu utafute tu maana kifo au masharti hayaishi.

Hata yale ya kuambiwa uue unaowapenda na hauwezi danganya eti unataja mtu asiye rohoni mwako so ndugu zako ndio hao....haiishi mara moja inaendelwa hadi ufe wewe usipotiiii

Mkimbilieni Mungu ndio chaguo zuri.
Wengine kulala na mama zao yaani utajiri una meengi
 
Back
Top Bottom