Masharti ya mganga ili kumpata demu.

Masharti ya mganga ili kumpata demu.

hamic mussa

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
227
Reaction score
20
umeenda kwa mganga ili akusaidie kumpata demu unayempenda kisha anakupa masharti haya
''leta kucha za huyo binti alizokata kwa meno,nywele zake za kwapa na harufu yake. Nenda ukalete sabuni yake ambayo tayari ameogea kisha lete blauz anayovaa pindi anapozima taa na nyayo za miguu za marehemu babu yake. Na ucsahau kuleta jino lake lilong'oka lenyewe wakati akiwa mtoto. Ukikamililisha hayo ntakusaidia kumpata'
JE INGEKUWA WEWE UNGEWEZA?
 
Mkuu mbona hiyo ni rahisi sana kama kumnyoa ndevu simba mzee
 
Mkubwa mbn masharti haya yapo kwenye wimbo wa Sajna(mganga)? Au ndo joke nyingne?
 
mbona rahisi mkuu, si ndo atakuwa kanifundisha kutikuwa muoga na king'ang'anizi kwa huyo demu na huyo mganga hataniona tena kwake hata siku moja
 
Nikumpa hela ili akavilete lakini akuoneshe kabla ya kutibu.
 
Kwani lazima iwe huyo demu tu,
Mademu wako wengi tu, ni kuachana na mganga na huyo demu!!
 
Back
Top Bottom