Sare ni vazi au muonekano maalum katika kundi au taasisi maalum yenye mlengo mmoja!
Miongoni mwa masharti ya kuvaa sare ni:
Unatakiwa kuvaa sare wakati tu unatekeleza majukumu husika na si vinginevyo
Hutakiwi kupigana ukiwa umevaa sare
Hutakiwi kugombea usafiri ukiwa umevaa sare
Hutakiwi kujisaidia hadharani ukiwa umevaa sare
Hutakiwi kufanya ishara zozote zenye mlengo wa kingono hadharani hata kama ni wanandoa.
Note! Hata kwa taasisi zinazohusika na mambo hayo yakiwemo mapenzi na ngumi inaruhusiwa pekee kufanya hayo hadharani kwa kibali maalum tu!
Ikiwa na maana kwamba hata kama unafanya kazi kampuni ya kufanya ngono, ukiyafanya hayo hadharani ukiwa umevaa sare inatafrika ni kuichafua kampuni na adhabu itakuhusu!