Masharobaro wengi huwa hawana hela

Masharobaro wengi huwa hawana hela

Alafu hivyo hivyo visharobaro na dhiki zao,ndo vinaongoza kwa kuwapigia mademu zenu mtaani
 
Kwa uchunguzi wangu mdogo nliofanya, nimegundua kuwa wakaka wengi wanaovaa kisharobaro, eg juu kidugu plus waves, cheni za gold shingoni jeans, na supra au airforce mguuni huwa ni nadhifu kwa nje tu ila wengi wao mifuko yao ni mitupu, unakuta mtu kavaa kisharobaro lkn mfukoni hana hata 500 ya vocha, masharo wenye hela wapo ila ni wachache saana

Hivyo wadada msidanganyike kuona mwanaume kavaa kisharobaro mkadhani ana hela..
hivi kumbe wadada wanaangaliaga hiyo u judge kama mtu ana hela au la...weli akili hazipo kichwani mwao....ha watakuwa watoto wana mihemko tu
 
Raha ya kuwa na mwanaume awe mgumu kama Johmakini au fidq raha sana, mwenyewe unajiona uko na mwanaume kamili hata asiwe na hela.

Sio hivyo vitoto vya mama mbwembwe nyingi afu vinakuwaga laini.
Utakuwa bibi wewe,,,,, bint hawez kuongea haya maneno
 
Raha ya kuwa na mwanaume awe mgumu kama Johmakini au fidq raha sana, mwenyewe unajiona uko na mwanaume kamili hata asiwe na hela.

Sio hivyo vitoto vya mama mbwembwe nyingi afu vinakuwaga laini.
Laini kivipi? mbona kashfa mamii?
 
Tobaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji108] [emoji126]
 
Mimi sio hao unaoita masharo ILA nimejiuliza haya maswali matatu:-

1) Wewe ni jinsia gani?

2) Umefanya utafiti kwa masharo wangapi na wasiokuwa masharo? Mpaka ifikie mahali pa kuhitimisha na kuwashauri wadada?

3) Huoni unaonekana ni Mmbea kwa kuwachunguza watu na lifestyles zao mpaka kujua yote hayo?

NI HAYO TU.
 
Kwa mwandiko huu we we ni sharo pure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom