Masharobaro wengi huwa hawana hela

Masharobaro wengi huwa hawana hela

sisi hela zakusumbua bongo tu hapa tunazo hatumaanishi tunaomba hela tunaongelea mademu wapenda visharobaro wakitegemea vinahela kumbe hataaa...
 
labda kama wewe ushazoea kuuza unambie nitumie pesa zangu kukushughulikia usione watu tupo jf unadhani cc mashoga tupo kwaajili yakupata uelewa zaidi nakupeana ushauri ngedere wewe
 
Kuwa smart ni kitu kizuri ila wengine huwa wanakosea kwa kumix smartness na uvivu,kukosa ukomavu wa akili,kuchagua shughuli na kuota bila kuzifanyia kazi ndoto, ndio maana unaweza kukutana na mtu yuko smart ila kachoka kimfuko mpaka anakera.
 
Uchunguzi wako umewahusisha masharo wangapi na wasio masharo wangapi (control group)?

Ila ulifanya kazi kubwa especially kama uchunguzi wenyeshe ulihitaji kwenda faragha nao wote. Hongera kwa uzoefu mkuu
 
Kuwa smart ni kitu kizuri ila wengine huwa wanakosea kwa kumix smartness na uvivu,kukosa ukomavu wa akili,kuchagua shughuli na kuota bila kuzifanyia kazi ndoto, ndio maana unaweza kukutana na mtu yuko smart ila kachoka kimfuko mpaka anakera.

Pole mkuu
 
Pole mkuu
Hakuna haja ya pole mkuu, Im a man ila kuna wakati unajikuta umekutana na rafiki ambae muda wote yuko broke, kazi hana ila pia kujishughulisha analeta pozi na kuchagua kazi,mizinga haiishi mpaka anakera.
 
Naona mnapeana siri ya urembo,,ukiona ivi ujue mtoa mada kapata kibabu,,make siku hizi wanakamsemo kao vijana kwa wazee,
 
hahahahah nakumbuka dada mmoja alikabwaga kasharo flan hapa mtaani jamani, kakaanza hadi kuchakaa sasa cjui huduma zilikata!!!?
 
Hakuna haja ya pole mkuu, Im a man ila kuna wakati unajikuta umekutana na rafiki ambae muda wote yuko broke, kazi hana ila pia kujishughulisha analeta pozi na kuchagua kazi,mizinga haiishi mpaka anakera.

Nimekupata mkuu....yeah, inasikitisha!
 
Hali umebadilika sio tena kama zamani wanaume wanang'aa nao hili watongozwe kwa hata wanawake wanatamani pia kuwa na mwanaume nadhifu pesa kitu gani kwenye mapenzi.
 
Unadhifu unaficha umasikini angalia kwenye daladala zetu za mbagala unakuta tumejazana ila pembeni yako akiwa mtu nadhifu unakua Na amani kidogo Na wallet yako mfuko wa nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom