Ooyooo zunguka na kuzunguka tena dunia yote lakini hii inchi ya india ni top na hakuna kitu chochote utakacho kosa tena vya kushangaa na kidogo ntakutapikia na anza ulofa kupita sisi watu wake na ulemavu wake ni wa kusikitesha kikweli hata hapa bongo hakuna na utapeli na tena wako bezey sana na maisha na kila aina ya vimbwenga utavikuta na usije ukatoa sumuni kumpa masikini utajuta kuzaliwa kwa sababu wanaitana na kukuganda kama mpira wa kona na wao uwape hiyo sadaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.