Mashangingi yanaenda kufanya nini kwenye uwanja wa vita huko Amboni?

Hii Ni Movie imetengenezwa kwa sababu za Kisiasa hakuna kitu hapo! Askari wanayedai ameuwawa kwenye mapambano amezikwa kimya kimya WHY? Hana Jina? Mbona waliokufa DRC & DARFUL walilzikwa kwa heshima zote za Kijeshi why NOT This One?
 
Baada ya kufa Kanumba sekta ya filamu za kibongo imedorora sasa polisi wameamua kuihaisha kwa kucheza movie kali ambayo ikitoka itatuweka kwenye ramani ya dunia kupita hata zile za Hollywood za akina Anord na Chuck Norris. Tusubiri uhondo. Ila jamani hakuna kitu kigumu kama kutengeneza uongo na kuufanya uonekane ukweli. Tatizo la uongo huwa hausimami na ukweli husimama hata uupige marungu vipi. Tofauti ya uongo na ukweli ni kuwa Uongo huwa unawahi kufika na Ukweli huchelewa kufika ili kuuabisha Uongo. Uongo huwa unakuwa na ndimi nyingi lakini Ukweli huwa unakuwa na ulimi mmoja tu! WATASHINDANA LAKINI HAWATASHINDA! TUTASHINDA!
Yap! Hili sinema litaisha kwa stahili ya yule mtekaji wa Dkt. Ulimboka baada ya kanusho la Mchungaji Gwajima!
 
Hiyo muvi inatakuwa sababu ya kukataa vibali vya UKAWA kufanya mikutano yao ya siasa! Tusubiri tuone!
 
Wewe Unadhani Per Diem Itapatikana Vipi? Vijangili Vidogo Tu Vinatutoa Jasho Je Mwanamume Paul Kagame Tutamuweza?

Maviiiiiii.... Mwambie ajaribu ka nchi kama rwanda ambacho kinazidiwa idadi na wachagga peke yao hakawezi kututisha sisi
 
Hii ni sawa na bongo movie jini kuvuka barabara kwa kuangalia kushoto na kulia au afisa kilimo kutembelea mashamba ya mpunga na suti.
 
Hii Ni Movie imetengenezwa kwa sababu za Kisiasa hakuna kitu hapo! Askari wanayedai ameuwawa kwenye mapambano amezikwa kimya kimya WHY? Hana Jina? Mbona waliokufa DRC & DARFUL walilzikwa kwa heshima zote za Kijeshi why NOT This One?

mkuu hii habari ya vita ambani tanga ni kweli kabsa,hakuna maigizo,sema majangili pia walkuwa na slaa kali ndo mana jeshi walishindwa,nko apa apa tanga,vita vya cku mbili ilikuwa.nmefka eneo la tukio pia.
 
Mkuu Kachancha, hii ni internal operation ya polisi, the role of JWTZ ni only supportive tuu, yaani jeshi kuisaidia polisi, bado msemaji na operation ni ya kipolisi!. Role ya jeshi ni kuilinda nchi na mipaka yake!. Role ya Polisi ni kuwalinda raia na mali zao!, role ya Tiss ni kulinda serikali na stability yake!.Pasco

Basi ingeitwa GISS sio TISS.
 
Askari wakiwa kwenye mapango ya Amboni Tanga juzi walipokuwa wakiwasaka watuhumiwa.
 
Kila siku ndio limekuwa likitumika kujazia kura za Zanzibar ili CCM ipete!. October hii utawashuhudia vuzuri huku bara!.

Pasco

Huwa wanalipwa nini baada ya huo uhuni ? au ndo wanashushiwa bei ya bia shilingi mia mbili kwenye mabwalo yao ?
 
Maviiiiiii.... Mwambie ajaribu ka nchi kama rwanda ambacho kinazidiwa idadi na wachagga peke yao hakawezi kututisha sisi

Mkuu, kwa taarifa yako Rwanda ina population ya watu mil 11.Kusema wanazıdiwa kwa idadi na Wachaga ambao ıdadi ya haizidi watu mil 2 umepotoka.Pia fahamu eneo lolote lıkıshafikia sifa ya kuwa nchi, hcho ni kitu kingine.Mkoa wa Kagera pekee nı mkubwa kuliko nchi nzima ya Rwanda na Burundi,lakn vp ukitazama maendeleo ya Kagera kama mkoa na Rwanda kama nchi?
 
kwann umeichagua kagera na sio arusha...linganish maendeleo ya arusha tu na hako ka rwanda
 
Back
Top Bottom