and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,216
- 39,694
Zaburi 23:1🐒Bwana ndiye mchungaji wangu!
tupo vizuri mno kuintercept hizo mambo licha ya kua haziruhusiwi kisheria za kimataifa kurushwa au kufurumishwa kiholela hususani ni kwenye maeneo uliyoyataja gentleman 🐒Ikitokea Maadui wakatumia hizo drones kufyeka watu masokoni humo sijui stendi. Tutaisha kama kuku. Na sijui kama tuna uwezonwa kukabiliana nazo. Zaidi ya kusifia
Sitapungukiwa na kitu...Bwana ndiye mchungaji wangu!
Ngoja kidogo tuchokoze hii mkuu mtibeli ni kweli kwendana na sheria za Geneva Conventions za 1949 na Additional Protocols za 1977 pia baadhi ya makubaliano maalumu kuhusu silaha na namna ya kupigana.Kwamba hujui sheria za siku hizi huruhusiwi kuua raia hata kama nchi iko vitani?
Kwa zamani ilikuwa rahisi sana
Ngoja kidogo tuchokoze hii mkuu mtibeli ni kweli kwendana na sheria za Geneva Conventions za 1949 na Additional Protocols za 1977 pia baadhi ya makubaliano maalumu kuhusu silaha na namna ya kupigana.
Raia hawaruhusiwi kulengwa moja kwa moja, kanuni ya msingi inaitwa principle of distinction kwamba askari wanaweza kuwa target halali ila kwa upande wa raia hawaruhusiwi kuwa target. Mashambulizi yanapaswa kuelekezwa kwenye military objectives, siyo raia au vitu vya kiraia.
Tuje kwenye ishu kama mtoa mada alivyosema kuna vitu vimetokea kwenye vita zinazoendelea leo sehemu mbalimbali duniani kimsingi wengi wao wanadai kuna military command center ndani ya mji. Hivyo basi jeshi linaweza kuwa na sababu halali ya kuishambulia ikiwa ni military objective.
Kwa bahati mbaya zaidi tafiti zikifanywa unakuta si kweli ila kisingizio ni kwamba walifanya recce na kugundua kuwa askari hujificha katika maeneo ya raia hivyo basi
Sheria za vita hazimaanishi vita vinakuwa salama.
Zinajaribu kuweka mstari ambao hata wakati watu wanapigana, hawaruhusiwi kuvuka.
Brother, nakumbuka uliwahi kuleta uzi humu ukafafanua vizuri sana vita haina macho na hakuna kitu kinaitwa sheria za vita kitaheshimiwa na adui akiamua kufyeka watu!Kwamba hujui sheria za siku hizi huruhusiwi kuua raia hata kama nchi iko vitani?
Kwa zamani ilikuwa rahisi sana
Katika malisho ya majani mabichi hunilaza...Sitapungukiwa na kitu...
Unataka kusemaje mkuu.Ikitokea Maadui wakatumia hizo drones kufyeka watu masokoni humo sijui stendi. Tutaisha kama kuku. Na sijui kama tuna uwezonwa kukabiliana nazo. Zaidi ya kusifia
Unasema drone/s ni kale/kile kidude? 🤗🤗Hivi mpaka hizo drones zionekane zinaruka hewani, jeshi la ulinzi kitengo cha anga kitakuwa kipo likizo au usingizini?
Kwanza drones zote lazima ziwe na usajili wa mamlaka ya anga, JWTZ , Polisi.sio rahisi kama unavyodhani kukitumia kile kidude bila kupitia hizo sehemu