mlimbwende
Member
- Jul 15, 2011
- 74
- 26
Mashamba yanuzwa maeneo ya Mwale Masaki Kisarawe. Moja heka 4 lina, minazi kama ishirini, michungwa, miembe n.k Shilingi milioni 10. Lingine heka 1shilingi milioni moja na laki nane. Wanaouza ni wazee wanashida. manunuzi yanafanyika serikali ya kijiji anae hitaji ani PM nimuunganishe na wazee mojakwa moja.