Mashamba ya kulima Ruvu

Mashamba ya kulima Ruvu

Mkuu CITY HUNTER hayo mashamba unayozungumzia ni ya nafco/narco au ni ya wanakijiji?

Kwenye swala la mpunga nimeongelea NAFCO. Ila,humu kuna watu wanaojitambua,na hakika wapo wenye kila aina ya uelewa na haya mambo.Kwa nini watu msiongee hata wakipatikana 10 tu,mjenge group,la kilimo,muaminiane,kitawashinda kitu gani?
 
Kwa kipindi cha misimu mitatu iliyopita ilikuwa 600 kwa kilo so inategemea na gunia utakazokuwa umepata.. Muhim ni kuutunza godown kama miez 2 hvi ambapo bei hupanda hadi 1300,ukivuna na kuuza hupati kitu coz bei zinakuwa chini sana kipindi cha mavuno

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app

Kuna kipindi nilizungumzia hiyo issue kuhusu kilimo pembezoni mwa mto,hivyo kila mtu aelewe kwamba mwezi wa tatu mafuriko yanaanza,japo wingi wa maji hautabiliki,wakati mwingine hayazuii kilimo kuendelea,na wakati mwingine yakikukumba ujue ndo basi,labda yakitoka mpunga haujaoza,unaweza pata wa kutumia nyumbani
 
Kwenye swala la mpunga nimeongelea NAFCO. Ila,humu kuna watu wanaojitambua,na hakika wapo wenye kila aina ya uelewa na haya mambo.Kwa nini watu msiongee hata wakipatikana 10 tu,mjenge group,la kilimo,muaminiane,kitawashinda kitu gani?
Hilo ndio swala la muhimu sana aisee. Mm niko tayari

......
 
Back
Top Bottom