Ramp Agent
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 272
- 194
Kwanzaa mkuu shukrani sana kwa kunitoa kwa izi ABC mwaka jana nilitaka kulima ila jama niliyemtegemea angenipa muongozo akanikatisha tamaa kabisa.Mkuu,siwavunji moyo hapa nawaonjesha tu changamoto za huku,na mwenye swali asisite kuniuliza,ili siku yakikukuta ukumbuke.Ghala lipo na ni la chama.Hivyo,ukivuna unaweza kutunza mpunga wako mpaka utakapoamua kuuza.Gharama za kutunza,nilisikia ni 2,000 kwa siku(japo uhakika sina,mpaka niulize),ila nimesikia kipindi furani hao hao tunaowasema walivunja na kuiba mpunga wa watu.Sasa mpaka mwizi atafutwe,kesi iende,ulipwe ni leo? Mi naonaga tu uuzie shamba hapo,wanaonunua wanaanika wenyewe,au utafute sehemu kijijini uupeleke uombe hifadhi uwe unaanika mwenyewe,ukimaliza toa shukrani zao,safirisha,uza au koboa mwenyewe
moja wapo ni kama imani za kishirikina kuibiwa mazao shambani kichawi na pili ukiuzia mpunga kipindi cha mavuno au kuuzia shamba wateja huwa wanawalalia sana wakulima na kununua kwa bei rahisi sana ...nipe mchanganuo katika ili na gunia kwa shamba wanauza shilingi ngapi na linakua na Kg ngapi... Nawasilisha mkuu
Post sent using JamiiForums mobile app