Mashallah harusi ilifana

Hii picha itakuwa ni negatif[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Nashukuru Mungu make-up zilinipita kushoto lol
 
Halo huyu Dada ni MTU hai au Yale masanamu ya madukani Kariakoo?khaa!😀
 
Km mm ndo bwana haruc namkataaa, Noooo!! Sie huyu ninaemjua mm
 
Aliyeunganisha Mungu... Binadamu na asitenganishe..
 
Iv picha kama iz znakuaga za ukweli au edit
 
Ndio maana sipendi harusi......huyo mwanamke kawa kama joker
 
Ningeona miguu ya biharusi!! Uso mweupe, nikono mweusi miguu.......?
 
Bibi harus naona hata na yy alijisahau sio kwa weupe huo,maana anajijua yy ni mweus.Au hyo mikono alivaa gloves nyeusi.hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…