mashaka!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mashaka!!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by kitiheka Ngomanzito, Dec 19, 2011.

 1. k

  kitiheka Ngomanzito New Member

  #1
  Dec 19, 2011
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nina wasiwasi na elimu ya Tanzania, naimeshindwa kujua kabisa hivi elimu yetu inapanda au inashuka?, Matokeo yote yana utata mtupu au ndo wanajaribu kuingiza siasa katika taluuma na kama iko hivi basi nchi yetu tunaipeleka pabaya.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Watoto wenyewe ni vilaza. Inabidi serikali iwabebe hivyohivyo!
   
Loading...