Mashairi ya "Nyama ya Kangaroo" Beka Fleva

kyalankota

JF-Expert Member
Jul 27, 2014
2,592
1,451
Wimbo wa huyu msanii kuanzia mdundo, sauti hadi mashairi na maudhui yake yamejaa ubunifu wa hali ya juu sana. Kwa kweli amejitahidi sana huyu Dogo kwa utunzi murua.
Mi nikisiliza mahali popote lazima niurudie rudie kuusikiliza.

Je, kuna mwenye script ya mashairi yake humu?
If yes, yaweke hapa please.
 
Nasubiri bado
IMG_20180128_145357_652.jpg

IMG_20180128_145420_029.jpg

IMG_20180128_145501_774.jpg
 
Wimbo unaitwa SIKINAI wa Beka Flavour,
Dogo ana mashairi yenye ladha fkan hv ya ushairi halisi tangu yupo YAMOTO.
we jaribu kufuatilia verse zake zote alizoimba akiwa YAMOTO BAND utagundua kitu
 
huyu dogo ni kichwa zaidi ya Aslay...Promo kubwa imekosekana..jamaa ni level nyingine kuanzia sauti(sauti kali halisi yenye mirindimo ya kipanda na kushuka), mashairi, melody, way he flow.. sikiliza kwa makini libebe, sikinai utagundua hili..
 
Point
 
Sema yupo vzr, usitake kulazimisha watu kuwa ni zaidi ya Aslay at kwa hizo nyimbo mbili tu. Aslay anajua mzk ni nini, na ana uzoefu, hana papara na mashairi yake yanagusa kila rika. Sikiliza Ndoa usiitie doa aliyoimba na Khadija Kopa, mashairi ya Aslay hayaendani kabisa na umri wake. Huyo Diamond mwenyewe nyimbo zake hazigusi sn jamii ukilinganisha na Aslay. Utunzi wa nyimbo km Libebe wa Beka ni BigG ambao hauna muda mrefu masikioni mwa wasikilizaji, Nyimbo nyingi za Aslay zitaweza kusikilizwa hata baada ya kizazi chetu. Beka ana vocal nzr lkn, mzk sio hicho tu, wenye vocal nzr ni wengi lkn wanafanya mzk kawaida mf. Barnaba, Bel9, Qchila, Rubby, Linex nk. Diamond hana vocal ya ajabu wala mashairi ya maana sn lkn angalia alikofika!. So Beka ni mwimbaji mzr km wengine, sio lazima umshindanishe na mwenzie ili kumuelezea. Mzungumzie yeye km yeye. Km unata kuwashindanisha basi fanya hivyo siku moja af uone nani atashinda. Huyo Beka alipotoa Libebe, alipokua anahojiwa na Radio alikuwa akimnanga Aslay, lkn Aslay alikaa kimya tu. Baada ya Aslay kuanza kutoa nyimbo moja baada ya nyingine, beka huyo huyo akaanza kumsifia Aslay kupitia Gazeti. Na Bado Aslay alisikika akisema Beka ni mtu wangu. So Usipende kulazimisha watu wafikiri unavofikiri wewe
huyu dogo ni kichwa zaidi ya Aslay...Promo kubwa imekosekana..jamaa ni level nyingine kuanzia sauti(sauti kali halisi yenye mirindimo ya kipanda na kushuka), mashairi, melody, way he flow.. sikiliza kwa makini libebe, sikinai utagundua hili..
 
Pia kune wimbo wa dogo janja ...nikupeleke ngarenaro kunae sehem anasema "komela man...yo my number one...unanipaga mpaka mambo ya uani"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom