Mashabiki wa yanga mkubali tu Msimu huu hamtoboi makundi mmeisha

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,150
11,198
Tatizo lenu huwa mnamtumia simba kama Direction yenu kuwa mna timu njema ila Simba ya sasa ni mbovu kweli kweli ile simba sio Timu ya kujipima kwa sasa ipo shida sana sana simba huwa inabadilika ikiingia Makundi CAF ila msimu huu bado kitendawili

Tatizo lenu mliitumia michuano ya shirikisho kama kigezo cha nyie kujiona ni Bora ila hadi sasa timu mlizochuana nazo mwaka jana karibia zote kwa sasa hazipo Caf zinapumulia Gesi,

Mwarabu aliewapiga 3 jana kwa mpira anaocheza nawahakikishia atawapiga na ndani pia mkubali wale jamaa mpira wanajua, Alahly nae mkikazana sana mtatoa Draw hapa ila msipokuwa makini atawapapasa hapa hapa shida yenu huwa mnamtazama simba Ndio mnajua na nyie mtapitia mule mule ila nawaambia simba ikishaingia kwenye hii michuano huwa inakuwa timu ya tofauti

Alahly kwa sasa lazma atakuwa amejipanga atawatandika kote kote
 
Sasa Simba uifananishe Belouizdad kweli?
Sema nawe acha kujisahaulisha umesahau msimu uliopita simba mechi yakwanza alipigwa yapili akasale namwisho wa siku simba akavuka makundi?

Kilichopo hapa kila mtu ashinde kwake
 
Simba ni ndio mfalme Afrika mashariki na kati..baada ya yanga kuona hilo wakawaonga wachezaji wa simba ili wapate matokeo ya kuwatia moyo club bingwa ila yanga sio timu ya kuifunga simba.

Hatawashabiki wa yanga siwaelewagi hata nikitenga muda kuwasikiliza.
 
Haya ni mashindano na umekiri kuwa kuna timu kubwa. Kwenye mashindano kupo kutolewa kwa maana ya lazima ziende timu kadhaa.

Yanga kama hawatapita kwenda hatua ifuatayo, hayo ndiyo matokeo ya ushindani
 
Sasa Simba uifananishe Belouizdad kweli?
Sema nawe acha kujisahaulisha umesahau msimu uliopita simba mechi yakwanza alipigwa yapili akasale namwisho wa siku simba akavuka makundi?

Kilichopo hapa kila mtu ashinde kwake
Simba CAF CL msimu uliopita hakusare mechi yoyote.
 
Tatizo lenu huwa mnamtumia simba kama Direction yenu kuwa mna timu njema ila Simba ya sasa ni mbovu kweli kweli ile simba sio Timu ya kujipima kwa sasa ipo shida sana sana simba huwa inabadilika ikiingia Makundi CAF ila msimu huu bado kitendawili

Tatizo lenu mliitumia michuano ya shirikisho kama kigezo cha nyie kujiona ni Bora ila hadi sasa timu mlizochuana nazo mwaka jana karibia zote kwa sasa hazipo Caf zinapumulia Gesi,

Mwarabu aliewapiga 3 jana kwa mpira anaocheza nawahakikishia atawapiga na ndani pia mkubali wale jamaa mpira wanajua, Alahly nae mkikazana sana mtatoa Draw hapa ila msipokuwa makini atawapapasa hapa hapa shida yenu huwa mnamtazama simba Ndio mnajua na nyie mtapitia mule mule ila nawaambia simba ikishaingia kwenye hii michuano huwa inakuwa timu ya tofauti

Alahly kwa sasa lazma atakuwa amejipanga atawatandika kote kote
Simba kwa mchezo mulioonyesha leo mutatoboa?!!! Subirini wa-Palestina....
 
Falasi kweli ww mechi ndio kwanza zinaanza Yanga amecheza ugenini. Anakuja punguani kama huyu kushauri upumbavu!
 
Tatizo lenu huwa mnamtumia simba kama Direction yenu kuwa mna timu njema ila Simba ya sasa ni mbovu kweli kweli ile simba sio Timu ya kujipima kwa sasa ipo shida sana sana simba huwa inabadilika ikiingia Makundi CAF ila msimu huu bado kitendawili

Tatizo lenu mliitumia michuano ya shirikisho kama kigezo cha nyie kujiona ni Bora ila hadi sasa timu mlizochuana nazo mwaka jana karibia zote kwa sasa hazipo Caf zinapumulia Gesi,

Mwarabu aliewapiga 3 jana kwa mpira anaocheza nawahakikishia atawapiga na ndani pia mkubali wale jamaa mpira wanajua, Alahly nae mkikazana sana mtatoa Draw hapa ila msipokuwa makini atawapapasa hapa hapa shida yenu huwa mnamtazama simba Ndio mnajua na nyie mtapitia mule mule ila nawaambia simba ikishaingia kwenye hii michuano huwa inakuwa timu ya tofauti

Alahly kwa sasa lazma atakuwa amejipanga atawatandika kote kote
usirudie kuandika uzi huku unavuta shisha...
 
Yani kamechi kamoja tu mmeshaanza kutanua midomo yenu ng'ombe kabisa
 
Back
Top Bottom