Mashabiki wa Yanga FC wapata ajali Msata wakielekea Arusha kwenye mechi dhidi ya Coastal Union

Ukisoma comments ndio utajua wana jf wa siku hizi iq ndogo.
Kuna mmoja kauliza wanatoka tabata msata wanafuata nini! Huyu ni trash.
Acha na yule alokoment ati kwenye tv unaoneshwa why wasafiri kwenda mpaka huko! Huyu ni garbage.
Kuna aliosema bora wangepata ajali wakiwa wanapambania katiba mpya! Huyu ni nya kabisa.
Kuna aliosema ati ye anasikilizaga kwa redio tu hana hata muda wa kuangalia kwenye tv kwa hiyo alitaka wote wafuate kama yeye?
Daah jf members are no longer gt.
 
JF ina watu wanahisi wako perfect na wengine wote inatakiwa waishi kama wao.
 
Mashabiki wa timu ya Yanga wamepata ajali mbaya ya kugongwa na lori Fuso usiku huu. Ajali imetokea maeneo ya Msata. Walikuwa wakitokea Tabata, kuna waliopoteza maisha na majeruhi.

Dereva wa fuso amekimbia na kutelekeza lori lake vichakani

Poleni sana waathirika

---
Basi la Mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wanaenda Arusha kwenye mchezo dhidi ya Coastal union kesho limepata ajali maeneo ya mwaitemo karibu na msata.

Taarifa Kutoka kwa mmoja wa shuhuda wa ajali hiyo amesema hali ni mbaya sana kwa majeruhi ambao walikuwa kwenye basi hilo.

View attachment 2328875View attachment 2328877
 
Back
Top Bottom