Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,408
- 1,157
Kuna upepo hivi sasaa unasambaa kama moto wa petrol kuwa inakuwaje kwenye ligi moja mdhamini aweze kudhamini timu 6 kwenye ligi moja? Kwa maana hiyo hizi timu ndogo zinazodhaminiwa na GSM zinaipa yanga matokeo ya bure kwa sababu tu zinatokana na mdhamini kuwa mmoja. Swali la kujiuliza je SIMBA na AZAM nazenyewe zimedhaminiwa na GSM? mbona wanakula kichapo kama kawaida.
Hata ukiangalia kwenye mashindano makubwa ya CAF champions league nakwenyewe YANGA inahonga? Yani mashabiki wa simba ifikie wakati watumie akili basi hata yakuvukia barabara na walivyo wapumbau wa akili kuna mtu mmoja kaeneza huu uvumi basi wooote wamehamia kwenye hii hoja, na wameishikia bango kweli kweli baada yakuona matokeo yao na timu yao kwa sasa uwezo ni mdogo sana wa kuchukua ubingwa. Ni lazima ifikie wakati WATANZANIA tubadirike tuache upumbavu. Walianza yanga wachawi, ikaenda yanga wanatembeza bahasha, sasa upepo upo kwa GSM kudhamini timu 6 hawataki na imekuwa topic kuu kwa sass, inaonesha ni jinsi gani kolo akili zao zinavyozungushwa nawatu wachache ndani ya club. Ni upuuzi unaoshangaza sn.