Mashabiki wa Mbeya City wabadilike, wanaiharibia sifa timu yao

Mashabiki wa Mbeya City wabadilike, wanaiharibia sifa timu yao

wewe ndio uache uijnga na ufala,unajua vurugu hizo zilitokea wapi/eneo gani?unajua sababu yake?usipende kuropoka kwa usilolijua..jinga sana wewe,we unafikiri wote tuna ushabiki maandazi kama wewe.....fuatilia mambo ndio comments zako za *******.....

Matusi yanakujaje kwenye kujibu hoja??
 
Duh......

Wanasema maneno pekee huonesha kiwango cha busara cha mtu......Na huumba pia...

Kwa bandiko lako hili linaonesha MCC ina mashabiki wa aina gani....

Anyways naomba nikupuuze tu mkuu wangu.....

Unapaswa kujiuliza ni kwa nini Egypt mechi zinachezwa bila supporters.....Na wakati mwingine Italy......

Kama huyo ndo Great Thinker wa MCC, mahooligans watakuwaje?

Jiulize na ujijibu.
 
Duh......

Wanasema maneno pekee huonesha kiwango cha busara cha mtu......Na huumba pia...

Kwa bandiko lako hili linaonesha MCC ina mashabiki wa aina gani....

Anyways naomba nikupuuze tu mkuu wangu.....

Unapaswa kujiuliza ni kwa nini Egypt mechi zinachezwa bila supporters.....Na wakati mwingine Italy......
Leta basi habari kamili maana wengine hatukuwepo uwanjani ingawa tupo Mbeya, maana usiseme tu aha baba kampiga mama ni mbaya eleza ilikuwaje?
 
Leta basi habari kamili maana wengine hatukuwepo uwanjani ingawa tupo Mbeya, maana usiseme tu aha baba kampiga mama ni mbaya eleza ilikuwaje?
Usikurupuke.....

Acha uvivu....

Post namba moja imewekwa link ya Mbeya Yetu blog ambayo ina habari kamili ya nini kimetokea....
 
wewe ndio uache uijnga na ufala,unajua vurugu hizo zilitokea wapi/eneo gani?unajua sababu yake?usipende kuropoka kwa usilolijua..jinga sana wewe,we unafikiri wote tuna ushabiki maandazi kama wewe.....fuatilia mambo ndio comments zako za *******.....

Hawa ndo washabiki wa mbeya city!!!
 
Mbeya city washushwe daraja warudi mchangani

Hii sio ligi ya wahuni
 
Duh......

Wanasema maneno pekee huonesha kiwango cha busara cha mtu......Na huumba pia...

Kwa bandiko lako hili linaonesha MCC ina mashabiki wa aina gani....

Anyways naomba nikupuuze tu mkuu wangu.....

Unapaswa kujiuliza ni kwa nini Egypt mechi zinachezwa bila supporters.....Na wakati mwingine Italy......

jaribu kupitia posts zangu zote uone kama nimehiwa kutoa tusi,mkuu umeniprovoke,unaniambi mjinga,kwann usichangie hoja bila kukashifiana.
 
Viongozi wa Mbeya City ongeeni na Mashabiki wenu mapema coz wanaimpact kubwa sana ndani ya maendeleo ya timu. Kama siyo hivyo watazoea kwakuwa wanafanya vurugu bila kuonywa na kuna siku vifo vitakuwa vingi sana na timu kushuka kabisa na wana Mbeya kukosa burudani.
 
tunawasubiri kwa hamu wakija dar kucheza na yanga siku hiyo dar nzima tunakuwa mbeya city vs kandambili, mpaka yeboyebo waipate, unyama unyamani timu mbeya city
 
jaribu kupitia posts zangu zote uone kama nimehiwa kutoa tusi,mkuu umeniprovoke,unaniambi mjinga,kwann usichangie hoja bila kukashifiana.
Nadhani ulighafilika Chifu...

Pitia vizuri post yangu niliyokunukuu utaona ni kitu gani nimeandika...Nimeandika 'acha kushabikia ujinga' (uliofanywa na hao mashabiki) na si kwamba nimekwambia 'uache ujinga' ama "wewe ni mjinga"...

Ni wewe ndiye umeniita mimi mjinga/jinga na kunitaka niache 'ufala' na kwamba niache kuandika post za '*******'...

Kwa shabiki yeyote ambaye anaipenda Mbeya City kwa dhati hawezi kushabikia vitendo vya kihuni vinavyofanywa na watu wa aina hiyo kwa jina la ushabiki wa Mbeya City...Matukio ya aina hii hupelekea hata viwanja kufungiwa ama timu pinzani kuhakikishiwa usalama wao wanapoenda kwenye timu ambayo mashabiki wake hufanya vurugu kitu ambacho huiletea sifa mbaya timu mwenyeji...

Ubarikiwe sana mkuu wangu...

Michezo ni furaha, michezo ni burudani, michezo ni upendo, michezo ni urafiki....Michezo si vita wala uadui...

Sema No kwa Vurugu michezoni..
 
wewe ndio uache uijnga na ufala,unajua vurugu hizo zilitokea wapi/eneo gani?unajua sababu yake?usipende kuropoka kwa usilolijua..jinga sana wewe,we unafikiri wote tuna ushabiki maandazi kama wewe.....fuatilia mambo ndio comments zako za *******.....



mhhh! hawa ndio washabiki wa MCC! kweli mbeya city kazi wanayo. Timu nzuri washabiki wanywa viroba. napita tuuu
 
wewe ndio uache uijnga na ufala,unajua vurugu hizo zilitokea wapi/eneo gani?unajua sababu yake?usipende kuropoka kwa usilolijua..jinga sana wewe,we unafikiri wote tuna ushabiki maandazi kama wewe.....fuatilia mambo ndio comments zako za *******.....

Umeandika nini hapa sasa?? Hauna tofauti NA hao mashabiki wa MCC Wanaorusha mawe...
Muungwana hufuta kauli...
 
Acha kushabikia ujinga wewe....

Mashabiki wa Mbeya City wanajulikana kwa upuuzi wao....Wanapaswa kubadilika....Kwa mwendo huu itafikia kipindi ikaamriwa mechi za MCC zikachezwa bila mashabiki....

Usiniambie kama ni wachezaji ndio waliwachokoza hao mashabiki....

Kingine inabidi TFF na Polisi wapige marufuku utumiaji na uuzaji wa VIROBA uwanja wa Sokoine.....Siku za mechi za MCC pale.Sokoine Viroba/Konyagi vinauzwa sana na vinauzwa kwa uwazi kabisa....


kindly nimeipenda hii kuelezea tatizo na kutoa suluhu ya jambo....mm jana nililizungumza uwanjan pale pale tena nimesimama ktk jukwaa la mbeya city.....nakaongea na marafik jinsi sikupenda viroba vinavoauzauwa ndani ya uwanja..... kwamba hawa watu wakilewa ni tatizo na hali si shwari.....na kusema kuna sababu polisi kupiga marufuku uuzaji wa viroba......uwanjan.....then hizi team zote ziko ktk idara za serikali kwa nini viongozi wake wanyimane amani kwa sababu ya soka tena wa mkoa mmoja....hata lile jeneza lilitembezwa mule ndani haikupendeza.....ni matukio ya uchuro yale....
asante ndugu kwa ushauri wako....najua polisi watalifanyia kaz...na hata mamlaka ya uwanja wa sokoine
 
Polite Language: Siungi mkono upigaji mawe wa magari ya timu pinzani, lakini nina kaombi kadogo nako ni: walipige mawe basi la Simba ili ku-balance equation, baada ya hapo waache kabisa vitendo hivyo. CC. ndomyana & Co. (kwa utekelezaji).
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom