DCONSCIOUS
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,269
- 473
Uko sahihi ndugu....Naona Mbunge wa Jimbo la Mbeya anashangilia,go Mama...
...Kama timu zote za soka zingekuwa zinapata support toka kwa wananchi wa maeneo yao kama ilivyo kwa Wananchi wa Mbeya na Mbeya City yao basi soka ya Tanzania ingekuwa mbali sana...
...Lakini bado najiuliza,mbona Prison ya Mbeya haipendwi na wananchi haohao??je wananchi hawa hawaliona jeshi la Magereza kama ni sehemu yao??...
Hii nyuma ya Sangu Sec....
Ndimu zichezazo mechi nyingi za majaribio na kirafiki ndizo zifanyazo vizuri michuanoniHapo ni uwanja wa Mwakangale Kyela, Mbeya city walicheza jana mechi ya kirafiki na Ruvu jkt
Sangu kuna minazi siku hizi?
Uko sahihi ndugu.
Prison FC haikuwa wakilisho stahiki la wananchi wa Mbeya, kwa kuwa ni timu ya jeshi la magereza. Sasa wamepata mbadala wa Tukuyu Stars, acha wajimwage na kuifia. Pia, tusisahau kwamba fitna za Yanga na Simba zanaua sana soka letu.
Mbona mbeya city ni timu ya halmashauri ya mji wa mbeya?