Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Hii shepu inaitwa kufakamia bila zoezi style
hahaaaaaaaa una utani na wakina ndaga fijo wewe
Hii shepu inaitwa kufakamia bila zoezi style
mwenye kipara ni bujibuji. Verified user
...Naona Mbunge wa Jimbo la Mbeya anashangilia,go Mama...
...Kama timu zote za soka zingekuwa zinapata support toka kwa wananchi wa maeneo yao kama ilivyo kwa Wananchi wa Mbeya na Mbeya City yao basi soka ya Tanzania ingekuwa mbali sana...
...Lakini bado najiuliza,mbona Prison ya Mbeya haipendwi na wananchi haohao??je wananchi hawa hawaliona jeshi la Magereza kama ni sehemu yao??...

Mary Mwanjelwa ni Mbunge wa Jimbo la Mbeya????
Hii nyuma ya Sangu Sec....
Kuna mwaka waliihamisha wakaipeleka Tanga,mashabiki walipolalamika kamishna akasema hii ni timu ya jela hivyo wanaweza ipeleka popote tanzania!mwaka wa pili wakaipeleka morogoro tena na majibu yakawa hayo hayo machafu ya yule kamishna wao!
wawatoe wafungwa Ruanda pale wawe wanaenda kuwashangilia................ pambafffu!
soma location, mm ni mmojawapo
Nakumbuka alisema Prison ni timu ya jeshi la magereza, sio timu ya raia. Tangu aliposema hivyo, wana Mby wakaipa kisogo, leo wamepata timu yao wenyewe MBEYA CITY FCKuna mwaka waliihamisha wakaipeleka Tanga,mashabiki walipolalamika kamishna akasema hii ni timu ya jela hivyo wanaweza ipeleka popote tanzania!mwaka wa pili wakaipeleka morogoro tena na majibu yakawa hayo hayo machafu ya yule kamishna wao!
wawatoe wafungwa Ruanda pale wawe wanaenda kuwashangilia................ pambafffu!
...2015...
Na maparachichi!!Kwa wale akina
Mwa,mwa mwa wanajua hii itakua ni mabumunda na matakapela.
Na maparachichi!!