mkuu mi nimeweka tu matokeo ya utafiti wangu usio rasmi,siumii nashangazwa tu ni kipaji chao cha kupiga kelele ambacho hata wewe umekubali kuwa ndio hulka yao!
samahani nakuuliza tu,nisamehe lakini ni swali tu...hapo kwenye red hiyo ndio mbinu yako unayotumia kupunguza hasira ukikasirika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.