Mashabiki wa Arsenal (mostly) wana kelele sana

Hapa mtaani kwetu katika utafiti niliofanya nimegundua mashabiki wa arsenal wanaongea Sana,
kwanza wanadhani wameshabeba ubingwa eti kisa wanaongiza ligi kwa tofauti ya point moja ambapo mda wowote wakifungwa Tu wanashuka hadi nafasi ya nne huko.
Pili wanaikejeli Man united kwa kutofanya vizuri msimu huu tu wao wana msimu wa tisa hata kikombe cha kahawa hawajabeba.

Vipi huko uliko wewe hawa mashabiki hawasumbui????

Raha jipe mwenyewe..........
 
Sasa wewe ulitaka wasishangilie! Ulitaka wakae kimya ili iweje. Man u mshazoea kula vipigo mpaka na timu za daraja la nne lakin arsenal wanakula raha msimu huu. Jaman waachen wale raha ni siku nying hawajapata raha hizo ebo!
 
Yani wana kelele mpaka hata kwenye hiace ukipanda utawakuta wanapiga kelele huko huko.

Mi natamani kinachoikumba Man U iwageukie.
Natamani tar 13/01/2014 wakikutana Asto Villa waangukie pua ya hata bao 6 bila kama walivyofinywa na Man City!
Hilo ni dua la fisi halimpati mwanadamu mkono wake udondoke ili fisi afanye mambo yake.
 
usemayo ni kweli,mimi nikiwa ktk umc huwa nanogesha mambo kwa kuwapa watu ukumbini matokeo ya siku hiyo!nikitangaza matokeo man utd kashinda watu si pungufu ya robo tatu ukumbini hupiga kelele kwa kushangilia,nikitangaza ya arsenal kashinda watu wachache wakati mwingine hawazidi hata 10 hupiga kelele nyingi zaidi ya zile zilizopigwa na robo tatu ya watu ukumbini!takribani miaka 4 hali ni hiyohiyo!haijalishi wamebeba kombe au la kipaji cha kepiga kelele wanacho!
 
Kweli aisee
 
Kweli aisee, Jana nilisikia malele usiku kucha sijui ndo walibeba kombe
 
yani jana utafikiri wamechukua uefa makelele usiku kucha
 
ni kweli mashabiki wa arsenal wana kelele.utafiti nilioufanya ni kwamba; 1. Mashabiki wa arsenal ni wengi kuzidi timu zote afrika mashariki.nimetembelea miji ya kampala,kigali,buja,bukoba,mwanza,kigoma na dar kuna mashabiki wengi wa the gunners. 2. Mashabiki wa arsenal tumetukanwa muda mrefu na man u fun. Ata arsenal alipoongoza ligi mwezi wa kumi, mashabiki wa man u walisema arsenal ametangulia na gari la miti. Linalowauma sasa ni kwamba mlitegemea iharibu lakini kila leo inatesa. Imekalia NUNDU! 3; kumbuka furgerson alikuwa na mbinu chafu kwa marefa na wengi walitishwa.mwaka huu hazijatokea penalt za ovyo kuwafavor man u. Aslimia zaidi ya 75 walimkuta kazini fargie ivyo aliwaogopesha. 4: kuna shabiki wa man u anauzza jezi za timu,ameagiza tishirt za asernal kasema amekosa.wanaotafuta jezi hizi ni wengi sana: mwisho kubali unyolewe na Arsenal ahachii NUNDU KALAHiSI
 
Weka picha
 
Kama hiyo 1389887489243.jpg1389887489243.jpg
 
usemayo ni kweli,mimi nikiwa ktk umc huwa nanogesha mambo kwa kuwapa watu ukumbini matokeo ya siku hiyo!nikitangaza matokeo man utd kashinda watu si pungufu ya robo tatu ukumbini hupiga kelele kwa kushangilia,nikitangaza ya arsenal kashinda watu wachache wakati mwingine hawazidi hata 10 hupiga kelele nyingi zaidi ya zile zilizopigwa na robo tatu ya watu ukumbini!takribani miaka 4 hali ni hiyohiyo!haijalishi wamebeba kombe au la kipaji cha kepiga kelele wanacho!

Wewe inakuuma nini, hiyo ndo hulka yao kama hutak kajinyonge au kama unakasirika jamba hasira ziishe
 
teh teh teh man u wanaumia kweli wakiona tunachapa kila anayekatiza mbele yetu hata kama tusipocheza vizuri. ila nina swali moja hivi inawezekana kubadili jina ulilosajili jf mana langu ni enzi hizo huyu yuda alipokuwa kipenzi chetu wana gunners na sasa katusaliti nabaki kuumia tu na hili jina. yan bora angeenda ligi zingine tu.
 
hahahahaah......tena kaka Invisible asivyotupenda arsenal sidhani kama atakubali ubadili hilo jina.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom