Mashabiki wa Arsenal (mostly) wana kelele sana

Mashabiki wa Arsenal (mostly) wana kelele sana

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Hapa mtaani kwetu katika utafiti niliofanya nimegundua mashabiki wa arsenal wanaongea Sana,
kwanza wanadhani wameshabeba ubingwa eti kisa wanaongiza ligi kwa tofauti ya point moja ambapo mda wowote wakifungwa Tu wanashuka hadi nafasi ya nne huko.
Pili wanaikejeli Man united kwa kutofanya vizuri msimu huu tu wao wana msimu wa tisa hata kikombe cha kahawa hawajabeba.

Vipi huko uliko wewe hawa mashabiki hawasumbui????
 
Yani wana kelele mpaka hata kwenye hiace ukipanda utawakuta wanapiga kelele huko huko.

Mi natamani kinachoikumba Man U iwageukie.
Natamani tar 13/01/2014 wakikutana Asto Villa waangukie pua ya hata bao 6 bila kama walivyofinywa na Man City!
 
Kusema hivyo ni kuwasingizia kabisa. Ungejua Mashabiki wa Arsenal ni wastaarabu husingethubutu kuwasingizia. Wao siku zote ni watu wenye furaha, either wafungwe au wafunge wao mapenzi yao na timu yao yako pale pale na ndiyo maana wana misemo yao kama Once Arsenal (Gunners) you are Aresenal or Once Arsena you become hard like Al-Kahida. Tofauti na Man U wao kelele na wakifungwa walalamishi, na sasa hawana Ferfuson basi siku hizi kulia lia na wanataka kuikimbia timu na wengi hawataki tena kuona mechi zao hii ni tofauti na Arsenal wao kiangazi au masika wako pale pale
 
kwa mimi nadhani mashabiki wa Man U ni zaidi, kwa sababu wengi ni wa miaka hii kuliko cc wa Liver etc, sema kwa sababu sasa hivi story ya mujini ni The Gunners, utafiti wowote utakuonesha hivyo, ni kama ilivyo baada ya mechi ya mtani jembe, ukweli hata tafiti ya jezi za Man U zimepungua kdg mtaani kuliko za Arse 8
 
hapa ninahoji sura ya Wenger .........
Kusema hivyo ni kuwasingizia kabisa. Ungejua Mashabiki wa Arsenal ni wastaarabu husingethubutu kuwasingizia. Wao siku zote ni watu wenye furaha, either wafungwe au wafunge wao mapenzi yao na timu yao yako pale pale na ndiyo maana wana misemo yao kama Once Arsenal (Gunners) you are Aresenal or Once Arsena you become hard like Al-Kahida. Tofauti na Man U wao kelele na wakifungwa walalamishi, na sasa hawana Ferfuson basi siku hizi kulia lia na wanataka kuikimbia timu na wengi hawataki tena kuona mechi zao hii ni tofauti na Arsenal wao kiangazi au masika wako pale pale
 
Hahahahahhaaaaaa mtajiua mwaka huu, tumeumia muda mrefu jamani acheni tushangilie. By the way, if you can't fight us, join us!!!!!!!
 
Arsenal hawachukui kombe hata moja! February Ndio kila kitu kitajulikana maana kuanzia CL hapo Ndio watabakia na mbio mbili tu
 
man u.jpg Mpk wamama wamefurahi,
 
Siyo kila utafiti una logic, kwanza una uzoefu gani wa kufanya tafiti, ulishawahi kufanya tafiti ngapi? Faida ya tafiti zako kwa jamii?, utakuwa manure fan wewe si bure na una wivu tu, hata kama kwa tofauti ya point moja lakini ligi si tunaongoza ligi?
 
Arsenal hawachukui kombe hata moja! February Ndio kila kitu kitajulikana maana kuanzia CL hapo Ndio watabakia na mbio mbili tu

Mara subirini December, mara christmass mara boxing day mara mwaka mpya na saizi wasema February. Tuwaelewe vipi?
 
Walisubiri utabiri wa Rooney eti hatufiki December, December tukapita mwakampya tukapiga mtu na sasa wanasema February tukipita wanasema March, wao mpaka timu zinazoshuka daraja wanapata pumzi kwa Man U (Sunderland)
Mwaka huu watasema sana, watapiga kelele sana, watalia sana sisi mwendo mdundo tunatesa watu kwa chenga za mahudhi na magoli ya kushutukiza
Mara subirini December, mara christmass mara boxing day mara mwaka mpya na saizi wasema February. Tuwaelewe vipi?
 
waweke akiba ya kelele zao mpaka siku watakapombana na Mijerumani, Bayern Munich , chini ya Pep Guardiola kunako raundi ya pili ya UCL.
 
Arsenal hawachukui kombe hata moja! February Ndio kila kitu kitajulikana maana kuanzia CL hapo Ndio watabakia na mbio mbili tu

Arsenal kuchukuwa kombe EPL itakuwa vigumu sababu Man City wana timu kali kuliko zote katika ligi. Kwa mtizamo wangu EPL ni la Man City ingawaje napenda Arsenal tulibebe nakubaliana na wewe lakini tunaweza kubeba FA cup kama tuta-avoid baadhi ya timu. CL sijui kama tutamtoa Bayern lolote laweza kutokea katika makombe ya mtoano.
Kitu kilichowazi hivi sasa Arsenal tutamaliza ligi juu ya Manchester Utd, Spurs labda juu ya Chelsea na Liverpool. Kama unaweza kubet maisha yako bet.
 
Siyo kila utafiti una logic, kwanza una uzoefu gani wa kufanya tafiti, ulishawahi kufanya tafiti ngapi? Faida ya tafiti zako kwa jamii?, utakuwa manure fan wewe si bure na una wivu tu, hata kama kwa tofauti ya point moja lakini ligi si tunaongoza ligi?

Sina wivu bali Ni matokeo ya utafiti wangu tu, pili ndio nna uzoefu na hapo juu Ni moja ya tafiti zangu,
Hata kama sio shabiki WA manure lakini kelele za Arse8.6 fm zinaboa
 
Hahahahahhaaaaaa mtajiua mwaka huu, tumeumia muda mrefu jamani acheni tushangilie. By the way, if you can't fight us, join us!!!!!!!

Mnashangilia mmebeba kombe gani?? Au Emirates cup???
 
Hahahahahhaaaaaa mtajiua mwaka huu, tumeumia muda mrefu jamani acheni tushangilie. By the way, if you can't fight us, join us!!!!!!!

Mnashangilia mmebeba kombe gani?? Au Emirates cup???
 
Hapa mtaani kwetu katika utafiti niliofanya nimegundua mashabiki wa arsenal wanaongea Sana,
kwanza wanadhani wameshabeba ubingwa eti kisa wanaongiza ligi kwa tofauti ya point moja ambapo mda wowote wakifungwa Tu wanashuka hadi nafasi ya nne huko.
Pili wanaikejeli Man united kwa kutofanya vizuri msimu huu tu wao wana msimu wa tisa hata kikombe cha kahawa hawajabeba.

Vipi huko uliko wewe hawa mashabiki hawasumbui????

Tulia wewe mashabiki wa Arsenal tupo juu daima,hakuna timu Epl yenye mpira wa wetu,hata tusipochukua ubingwa wa makopo,bado sisi tutabaki kua mabingwa wa kucheza mpira wa uwanjani,Arsenal ni kitu wewe!
 
Kusema kweli sometimes au niseme wapenzi wa Arsenal wanaongea sana kabla ya kuvuka mto. We are keeping shooting ourselves on our feet. Hii inaweza kuwa inatokana na jinsi tulivyokuwa tunaonewa hasa enzi za " no british player in our first eleven" wakati timu kama Man utd walikuwa wanabebwa wazi wazi. Kuna wapenzi wa Arsenal wengi wapo very subjective and no objective, haya nimeyaona katika forums nyingi za soka si JF tu, ukiingia katika forums za waingereza mambo ni haya haya unakuta kuna wanaojali kuchonga midomo na wanaoongea points zinazojenga na kuelimisha umma wa wapenda soka. Nilichogundua wanaochonga sana ni wale wapenzi wa jana hii si Arsenal, liverpool au Man utd ipo katika timu zote. Na haya yanatoka kwa mpenzi wa Arsenal. Take it or leave it.
 
Back
Top Bottom