Masauni atoa rai kwa wabunge kupinga upotoshaji kuhusu Muungano

Elias Msuya

Senior Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
173
Reaction score
671
43c90dd1-21f0-4e73-99ab-b8e648b79d5f.jpg

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii.

Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na Mazingira kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa jijini Dodoma, Februari 11, 2026.

Mhandisi Masauni amesema kuwa Muungano una faida nyingi hivyo ni wakati sasa wabunge kusikiliza na kuwasilisha kwa busara hoja za wananchi kuhusu Muungano

Amesisitiza kuwa wabunge ni nguzo muhimu ya kulinda na kuimarisha Muungano wa Tanzania na wanabeba dhamana ya kihistoria ya kuhakikisha Muungano unaendelea kuwa chanzo cha amani, mshikamano na maendeleo ya Taifa.

49ba0883-1a34-4f76-b16d-87d54c1e1081.jpg

Kwa upande wa mazingira, amesema Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau imeandaa Programu ya Mageuzi ya Kukijanisha Tanzania ikiwa na lengo la kuleta mageuzi jumuishi na shirikishi yenye matokeo makubwa yanayolenga kuimarisha uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kwa kuongeza eneo lenye uoto wa kijani kupitia upandaji miti.

Masauni amesema Julai 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Dira 2050 ambayo imetambua na kuweka nguzo mahususi ya hifadhi na ustahimivu wa mabadiliko ya tabianchi.

“Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau imeandaa Programu ya Mageuzi ya Kukijanisha Tanzania ikiwa na lengo la kuleta mageuzi jumuishi na shirikishi yenye matokeo makubwa yanayolenga kuimarisha uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kwa kuongeza eneo lenye uoto wa kijani kupitia upandaji miti.

“Kwa kuzingatia Dira 2050 imeelekeza Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika masuala ya hifadhi na usimamizi wa mazingira, programu ambayo itawasilishwa kwa wabunge itazingatia masuala Uhifadhi wa ardhi oevu, Matumizi ya nishati safi ya kupikia, upandaji miti, biashara ya kaboni, udhibiti wa taka na usafi wa mazingira na udhibiti wa viumbe vamizi,” amesema Mhe. Masauni.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga amesema kupitia semina hiyo wamepata uelewa mklubwa kuhusu masuala ya mazingira.

Ameahidi kuwa pamoja na wabunge wenzao wataendelea kuwa mabalozi wazuri kwa wananchi katika kuwafundisha kuhusu uhifadhi wa mazingira endelevu.
 
Juzi wabunge wa ACT wamewekewa pingamizi na mwanasheria mkuu baada ya kufunguaa kesi kwenye mahakama kuu ya Zanzibar, mwanasheria mkuu anajua kabisa kitendo cha Zanzibar kuanzisha mahakama kuu ni uvunjaji wa katiba laakini amekaa kimya halafu wabunge wanaambiwa wasipotoshe muungano.
 
HASARA ZA MUUNGANO NI MAUAJI YA MO29.TUSINGEUNGANA TUSINGEPATA RAIS MUUAJI NA MAUAJI YA MO29 YASINGETOKEA.TUVUNJE MUUNGANO HUU WA KIPUMBAVU AMBAO UNANUFAISHA WAUAJI(WAZANZIBARI)
Mungano huu ndio ulotowa mauaji ya wakati wa mkapa
 
Huyu bila Mbowe kuzuia watu pale msibani kwa mzee Kibao wanatanga walikua wanamaliza kazi, ila ipo siku atafikiwa na yeye.
 
Hizo faida za muungano ni zipi kwa Tanganyika?
 
Nchi yenye watu 1.8 m
Inatoa raisi Tena muuaji Samia kuja kutawala na kua watu kwenye nchi yenye watu 70 ml?
Muungano au upuuzi huo
 
Yaani viongozi ndo wanaulinda muungano😄😄😄
ebu wekeni kura ya maoni muone
 
Yaani Faida za Muungano ,wakwanza kuzijua wawe ni Wabunge tu kwanza,ndiyo wazilete Kwa Mwananchi wa Kawaida,hii Ina ashiria Nini?!?
Masauni IQ yake huwa iko below standard mno full time..Binafsi nilimkosa kosa kumtwanga jiwe kubwa sana kwenye Mazishi ya Marehemu KIBAO,baada ya kuona anazingua kama Waziri Wa Mambo ya Ndani...
Najipanga upya ..one day Yes...aaaghhh..
 
View attachment 3542910

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii.

Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na Mazingira kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa jijini Dodoma, Februari 11, 2026.

Mhandisi Masauni amesema kuwa Muungano una faida nyingi hivyo ni wakati sasa wabunge kusikiliza na kuwasilisha kwa busara hoja za wananchi kuhusu Muungano

Amesisitiza kuwa wabunge ni nguzo muhimu ya kulinda na kuimarisha Muungano wa Tanzania na wanabeba dhamana ya kihistoria ya kuhakikisha Muungano unaendelea kuwa chanzo cha amani, mshikamano na maendeleo ya Taifa.

View attachment 3542911
Kwa upande wa mazingira, amesema Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau imeandaa Programu ya Mageuzi ya Kukijanisha Tanzania ikiwa na lengo la kuleta mageuzi jumuishi na shirikishi yenye matokeo makubwa yanayolenga kuimarisha uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kwa kuongeza eneo lenye uoto wa kijani kupitia upandaji miti.

Masauni amesema Julai 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Dira 2050 ambayo imetambua na kuweka nguzo mahususi ya hifadhi na ustahimivu wa mabadiliko ya tabianchi.

“Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau imeandaa Programu ya Mageuzi ya Kukijanisha Tanzania ikiwa na lengo la kuleta mageuzi jumuishi na shirikishi yenye matokeo makubwa yanayolenga kuimarisha uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kwa kuongeza eneo lenye uoto wa kijani kupitia upandaji miti.

“Kwa kuzingatia Dira 2050 imeelekeza Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika masuala ya hifadhi na usimamizi wa mazingira, programu ambayo itawasilishwa kwa wabunge itazingatia masuala Uhifadhi wa ardhi oevu, Matumizi ya nishati safi ya kupikia, upandaji miti, biashara ya kaboni, udhibiti wa taka na usafi wa mazingira na udhibiti wa viumbe vamizi,” amesema Mhe. Masauni.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga amesema kupitia semina hiyo wamepata uelewa mklubwa kuhusu masuala ya mazingira.

Ameahidi kuwa pamoja na wabunge wenzao wataendelea kuwa mabalozi wazuri kwa wananchi katika kuwafundisha kuhusu uhifadhi wa mazingira endelevu.
Apelekwe mavi yake huko anatetea MUUNGANO sababu Zanzibar ni kupe wanainyonya Tanganyika
 
Kupitia mitandao ya kijamii na hadhara?
Hivi hawa pimbi wanatumia mtandao gani wa kijamii?
 
HASARA ZA MUUNGANO NI MAUAJI YA MO29.TUSINGEUNGANA TUSINGEPATA RAIS MUUAJI NA MAUAJI YA MO29 YASINGETOKEA.TUVUNJE MUUNGANO HUU WA KIPUMBAVU AMBAO UNANUFAISHA WAUAJI(WAZANZIBARI)

Upo sahihi. Kama usingekuwa muungano, abduli asingewaleta kmkm kuja kuua watanganyika.
 
View attachment 3542910

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni ametoa rai kwa wabunge kupinga na kusahihisha upotoshaji wa taarifa kuhusu Muungano, hususan kupitia mikutano ya hadhara na mitandao ya kijamii.

Ametoa rai hiyo wakati wa semina kuhusu Muungano na Mazingira kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyofanyika katika Ukumbi wa Pius Msekwa jijini Dodoma, Februari 11, 2026.

Mhandisi Masauni amesema kuwa Muungano una faida nyingi hivyo ni wakati sasa wabunge kusikiliza na kuwasilisha kwa busara hoja za wananchi kuhusu Muungano

Amesisitiza kuwa wabunge ni nguzo muhimu ya kulinda na kuimarisha Muungano wa Tanzania na wanabeba dhamana ya kihistoria ya kuhakikisha Muungano unaendelea kuwa chanzo cha amani, mshikamano na maendeleo ya Taifa.

View attachment 3542911
Kwa upande wa mazingira, amesema Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau imeandaa Programu ya Mageuzi ya Kukijanisha Tanzania ikiwa na lengo la kuleta mageuzi jumuishi na shirikishi yenye matokeo makubwa yanayolenga kuimarisha uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kwa kuongeza eneo lenye uoto wa kijani kupitia upandaji miti.

Masauni amesema Julai 17, 2025, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Dira 2050 ambayo imetambua na kuweka nguzo mahususi ya hifadhi na ustahimivu wa mabadiliko ya tabianchi.

“Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na wadau imeandaa Programu ya Mageuzi ya Kukijanisha Tanzania ikiwa na lengo la kuleta mageuzi jumuishi na shirikishi yenye matokeo makubwa yanayolenga kuimarisha uhimilivu wa mabadiliko ya tabianchi kwa kuongeza eneo lenye uoto wa kijani kupitia upandaji miti.

“Kwa kuzingatia Dira 2050 imeelekeza Tanzania kuwa kinara barani Afrika katika masuala ya hifadhi na usimamizi wa mazingira, programu ambayo itawasilishwa kwa wabunge itazingatia masuala Uhifadhi wa ardhi oevu, Matumizi ya nishati safi ya kupikia, upandaji miti, biashara ya kaboni, udhibiti wa taka na usafi wa mazingira na udhibiti wa viumbe vamizi,” amesema Mhe. Masauni.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga amesema kupitia semina hiyo wamepata uelewa mklubwa kuhusu masuala ya mazingira.

Ameahidi kuwa pamoja na wabunge wenzao wataendelea kuwa mabalozi wazuri kwa wananchi katika kuwafundisha kuhusu uhifadhi wa mazingira endelevu.
Kila siku wanasema muungano unafaida nyingi lakini wakianza kutaja hizo faida wanaishia moja, na faida wanayosema hata haipimiki. Wakisema unafaida kwa viongozi kutoka zanzibar hiyo ni sawa lakini tanzania bar muungano hauna faida yoyote. Zanzibar tungeweza kuishi nao kwa upendo tu kama majirani zetu inatosha kabisa. Tanzania bara tuna majirani wengi na tuishi nao kama ndugu. Mseveni tunasishi naye vizuri, wapo wakomoro, wakenya huko malawi wamejaa wabongo na wameoleana. Hakuna nchi yoyote hapa Afrika ambayo ni tishio kwa amani ya Tanzania bara. Hayo mambo ya muungano umeleta amani, kwa tishio lipi? Kwanza muungano ni chanzo cha vurugu kwa huku Tanzania bara, kama kuna wabara wanaona ni muhimu kuwa karibu na wazinbari watashirikiana nao tu huko kwenye jumuiya za East Africa, SADC, AU na UN. Kama wazanzibar hawawaamini wabara kwanini watanganyika wanaona wao wanawajibu wa kuwaamini wazenji. Kitendo cha zanzibar kuwa na Rais wake mwenye madaraka kamili na serikali yake maana yake wazanzibar haamini katika muungano wa nchi moja.
Angalia kwa sasa nchi ya tanzania ina marais wawili ambao wote ni wa zanzibar! Hata hayo mauji ya Mo29 chanzo chake kikuu ni muungano.
 
Juzi wabunge wa ACT wamewekewa pingamizi na mwanasheria mkuu baada ya kufunguaa kesi kwenye mahakama kuu ya Zanzibar, mwanasheria mkuu anajua kabisa kitendo cha Zanzibar kuanzisha mahakama kuu ni uvunjaji wa katiba laakini amekaa kimya halafu wabunge wanaambiwa wasipotoshe muungano.
Hivi kuna muungano ??

Kati ya nchi ipi na ipi . Ziko wapi hizo nchi na ya tatu iko wapi.
 
Sasa hivi wanautetea sana muungano! Hatuwasikii akina Jussa, OMO , Duni na wenzao.
Mashallah matunda ya muungano yanaonekana Zanzibar! wanapata kila wanachotaka

Wakati wa mapinduzi 1964 Zanzibar ilikuwa na Maafisa uhamiaji 8, kwa maana Pemba na Unguja.
Kwa mujibu wa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, leo wana ajiri Wazanzibar 800.

Hao 800 ukiondoa 100 wabaki Zanzibar, 700 wanafanya kazi Tanganyika
Kuna chuo cha Uhamiaji Tanga, kingine kinajengwa Zanzibar! hivi tuna mahitaji ya nanma hiyo????
 
Back
Top Bottom