Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,645
Masau bwire kuchukua nafasi ya Dismas usemaji Yanga fc
Masau bwire kuchukua nafasi ya Dismas usemaji Yanga fc
Yanga walivyo na njaa watamnyang'anya zile simu anazotembea nazo waziuze wapate hela.Masau bwire kuchukua nafasi ya Dismas usemaji Yanga fc
Ngoja huyo Manara naye apate wa kumjibu upuuzi wake kama ilivyokuwa enzi za Jerry Muro.
Kumbe Manara anawapa tabu
Yanga walivyo na njaa watamnyang'anya zile simu anazotembea nazo waziuze wapate hela.