Masau Bwire kumrithi Dismas klabu ya Yanga

Ili afe njaa?
Au Mzee akilimali amesharithi mikoba ya manji?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Sidhani kama kuna tatizo! Tupo kwenye awamu ya kupiga porojo na propaganda kwenye kila jambo. Hivyo atafaa tu. Dismas Ten anaweza akaachwa kwenye mambo ya masoko na mikakati mingine mingine ya maendeleo ya timu.

Ngoja huyo Manara naye apate wa kumjibu upuuzi wake kama ilivyokuwa enzi za Jerry Muro.
 
Yanga kama hawashindi hawachezi Mpira mzuri uwanjani hata arudi Murro, aje Manara, aje kifaru,au huyo masau bwire. Watu hawata enda uwanjani. Mtajiambia. Unapiga ngonjera then uwanjani hafifu harafu tuje uwanjani. Haiwezekani.
 
kama ni kweli basi huu ndo ujuha kuwahi kupindukia!! kwani mpira ni propaganda? mimi huwa situkani ila nongea ukweli daima, yanga wameathirika na ccm ya kale kabla magu hajairarua.. wengi wa viongozi wanaendesha mambo kiujanjaujanja hawajui kuwa mpira ni sayansi na sio propaganda...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom