mkuu acha kusingizia watu usio wajua wala kuwafahamu. na pia acha kutuhumu watu. Kama siasa huziwezi acha. unafanya siasa za kipindi cha ukoloni lazima uumie.
Kiuhalisia masanja huwa ni mshamba fulani na pengine hakuwa akijua mapungufu yake na hakuwahi kukosolewa lakini kupitia jukwaa hili analo la kujifunza vizuri
Masanja ni darasa la nne kisha akaenda kusoma kakingereza British council tu, apate kuongea lugha ya Mkoloni kuombea viza tu hana Taaluma kichwani ni mweupe mno
Masanja Mkandamizaji ndo msanii aliyefanya kampeni kubwa , hasa akijikita kwenye kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya tano kupitia sanaa. Anakipenda Sana chama na nchi.
Masanja Mkandamizaji ndo msanii aliyefanya kampeni kubwa , hasa akijikita kwenye kuelezea mafanikio ya serikali ya awamu ya tano kupitia sanaa. Anakipenda Sana chama na nchi.