masanja yupo sahihi, tena niongezee ndo mtu mwenye imani na Mungu kuliko wote Tanzania. Na hilo limedhilishwa kipindi kile cha Corona. Kumwamini Mungu ni kumtangaza Mungu mbele ya uma kuwa Mungu anaokoa tumwombeni. Ndo mtu pekee duniani aliyesema tusifunge makanisa tumwombe Mungu. Hivyo ni kweli Magufuli one hundred percent anamwamini Mungu