Ulijuaje anamsema MZEE MENGI???Jana kama kuna mtu alipata kutazama kipindi cha Orijino Komedi, basi lazima angepatwa na jazba nyingi, hasa katika sehemu ya umalizaji wake.
Masanja katika hali ya kuonyesha kukerwa na kuanza kwa kipindi-pinzani cha EATV cha kusaka wachekeshaji, basi alitoa kauli 2 chafu zote zikimlenga R.MENGI, kama hivi:
i-Mtu anajifanya tajiri na ana hela, sijui kwanini anachanganyikiwa na mambo madogo kama haya!
ii-Nilitegemea UMRI wake (Mengi) ungeendana na mambo yake, lakini kumbe wapi, ndo hivyo tena!
Binafsi niliboreka sana na maneno hayo, si kwamba nampenda sana Reginald, lakini kumkashifu mtu kama yule aliyemzidi umri mno ni kinyume cha maadili kabisa!
Hana adabu kabisa Masanja, *+$%%*inkoskaz huyu!😡....
1st Lady,
Kuna siku nilikuwa mtaani nikaona jarida fulani likiwa na picha unayotumia kama avatar yako.(kama nakumbuka vizuri tittle inasema "usilie kwa ajili yangu")
Siku nyigine nikaona kuna mtu kavaa T-shirt imeandikwa "NIKO KIZAZI" kama sijakosea.
Kwakweli nilivutiwa na hivyo vitu viwili nikasema siku moja nikiwa jamvini nitakuuliza.
Ninachotaka kujua ni je? , kuna uhusiano wowote kati ya wewe na hivyo vitu?
Kama jibu ni ndiyo basi HONGERA SANA.
Heshima mbele.
Ulijuaje anamsema MZEE MENGI???
Nilitazama hicho kipindi tangu mwanzo hadi mwisho sikusikia jina la Mengi likitajwa.
Mimi niliangalia kipindi kile, ijapokuwa nilikuwa na hama hama kati ya TBC1 na EATV, pale mwishoni alipokuwa anafunga kipindi Masanja alitoa maneno yaliyokuwa yanaonyesha hasira yake juu ya EATV na R. Mengi.
Hofstede umeonyesha upeo mkubwa sana. Kweli kama Masanja hataja jina la Mtu, kwa nini wao wanataja jina la Mengi?.Hiyo kwenye mabano aliiweka Masanja au ya kwako?. Kama Masanja hakutaja jina la mtu basi sioni ubaya upo wapi. Maana Mtu si Mengi pekee, sisi sote ni watu.
Tusimuwekee masanja maneno mdomoni mwake. Cha kufanya mtafute umuulize alikuwa anamuongelea mtu yupi?. Then lete jibu tulijadili.
Mimi mnanichosha! Eti Masanja hakutaja jina jamani hata kuread/listen between lines nako kunakuwaga kugumu kwetu?
Hueleweki, na hauko kwenye hoja!Hivi pale masanja anapomcopy Pinda huwa anamtaja jina?
Vuipi Mpoki na J Komba-huwa anamtaja jina?
sasa iweje akimtaja Mengi watu wankuwa wakali?
Ukinona mtu aliemuacha mke wake anazua ugomvi akimuona mtalaka wake na bwana mwingine ujue bado anampenda mke huyo. Masanja na crew yake waliondoka kwa Mengi wakiwa bado wanapapenda ndio maana analia wivu! we ukiona cha nini wenzio wasema watakipata lini! Komedi orijino msimlaumu mwamuzi, mkubali tu matokeo!
hodi wenyeji, hodi tena!
Naomba kukaribia kwenye jamvi na kamchango kadogo Huyu mshkaji masanja hakumtaja jina mtu. Mchangiaji kwa fikra zake amemrenga R. Mengi. Ni sawa na maneno ya kwenye khanga mwingine anaweza soma akasema amenivalia mimi je mtengenezaji alijua wewe na huyo mna bifu? ACHA KUJISHUKU NGOMA HUJAPIGIWA WEWE, UNACHEZA.
hodi wenyeji, hodi tena!
Naomba kukaribia kwenye jamvi na kamchango kadogo Huyu mshkaji masanja hakumtaja jina mtu. Mchangiaji kwa fikra zake amemrenga R. Mengi. Ni sawa na maneno ya kwenye khanga mwingine anaweza soma akasema amenivalia mimi je mtengenezaji alijua wewe na huyo mna bifu? ACHA KUJISHUKU NGOMA HUJAPIGIWA WEWE, UNACHEZA.