Natamani sana angekuwa JF aisome hii Post ..nilikuwa nawapenda sana hawa vijana na kipindi chao lakini sasa wanaelekea kuharibikiwa complete
Hajui kama biashara ni ushindani...
Jana kama kuna mtu alipata kutazama kipindi cha Orijino Komedi, basi lazima angepatwa na jazba nyingi, hasa katika sehemu ya umalizaji wake.
Masanja katika hali ya kuonyesha kukerwa na kuanza kwa kipindi-pinzani cha EATV cha kusaka wachekeshaji, basi alitoa kauli 2 chafu zote zikimlenga R.MENGI, kama hivi:
i-Mtu anajifanya tajiri na ana hela, sijui kwanini anachanganyikiwa na mambo madogo kama haya!
ii-Nilitegemea UMRI wake (Mengi) ungeendana na mambo yake, lakini kumbe wapi, ndo hivyo tena!
Binafsi niliboreka sana na maneno hayo, si kwamba nampenda sana Reginald, lakini kumkashifu mtu kama yule aliyemzidi umri mno ni kinyume cha maadili kabisa!
Hana adabu kabisa Masanja, *+$%%*inkoskaz huyu!😡....
Usijali MSG imemfikia mlengwa! soon atajiunga na JF.Natamani sana angekuwa JF aisome hii Post ..nilikuwa nawapenda sana hawa vijana na kipindi chao lakini sasa wanaelekea kuharibikiwa complete
Hajui kama biashara ni ushindani...
Jana kama kuna mtu alipata kutazama kipindi cha Orijino Komedi, basi lazima angepatwa na jazba nyingi, hasa katika sehemu ya umalizaji wake.
Masanja katika hali ya kuonyesha kukerwa na kuanza kwa kipindi-pinzani cha EATV cha kusaka wachekeshaji, basi alitoa kauli 2 chafu zote zikimlenga R.MENGI, kama hivi:
i-Mtu anajifanya tajiri na ana hela, sijui kwanini anachanganyikiwa na mambo madogo kama haya!
ii-Nilitegemea UMRI wake (Mengi) ungeendana na mambo yake, lakini kumbe wapi, ndo hivyo tena!
Binafsi niliboreka sana na maneno hayo, si kwamba nampenda sana Reginald, lakini kumkashifu mtu kama yule aliyemzidi umri mno ni kinyume cha maadili kabisa!
Hana adabu kabisa Masanja, *+$%%*inkoskaz huyu!😡....
Usingoje utafuniwe na umezewe, weye Hof nini sijui(naogopa name-calling)!Hiyo kwenye mabano aliiweka Masanja au ya kwako?. Kama Masanja hakutaja jina la mtu basi sioni ubaya upo wapi. Maana Mtu si Mengi pekee, sisi sote ni watu.
Tusimuwekee masanja maneno mdomoni mwake. Cha kufanya mtafute umuulize alikuwa anamuongelea mtu yupi?. Then lete jibu tulijadili.
Uko rite mkuu,, lakini pamoja na hayo inaonyesha akina Massanja wataendelea kupiga bao hata kama wakija hoa ze komedi wa EATV.
Kwa kuanzisha hii thredi inamaana ulisacrifice kuangalia zekomedi wa EATV.
Hiyo kwenye mabano aliiweka Masanja au ya kwako?. Kama Masanja hakutaja jina la mtu basi sioni ubaya upo wapi. Maana Mtu si Mengi pekee, sisi sote ni watu.

Mimi pia nilikiona kipindi hiki lakini hakumtaja Mengi, na katika siku ambazo vijembe havikuelekezwa EATV ni pamoja na siku hiyo.
Tuwe wakweli wakati mwingine.