Masalia yaliyobaki CHADEMA ni wapi?

...
Freeman Mbowe Mwkt wa CDM "tunapokaribia ikulu visa vitaongezeka, mateso yataongezeka, wasaliti watajikoze, serikali ya CCM itatumia fedha nyingi sana kujaribu kushinda, uaminifu wa wengi utakuwa-tested na wingi wa fedha chafu zitakazomwagwa kushawishi wale wote tishio kwa uwepo wa CCM madarakani, ni wale jasiri na uzalendo wa ukweli ndio watavuka hivi vizingiti." hiyo ni kauli kamanda wa anga mwaka na nusu uliopita. Leo yanatokea....
Mkuu I salute you! ...Tatizo la CCM na Moles wao wanadhani kuwa wanapambana na CDM, ukweli ni kuwa wanapambana na kila mtanzania mwenye akili timamu! punguani tu ndo hawaoni uchungu utajiri wetu kumilikiwa na wageni wakati watanzania wako masikini fukara wa kutupa...
 
Mkwawa waambie ukweli....kuna jambo moja ambalo ccm wanashindwa kulifahamu, nalo ni njia ya mitandao wanayotumia pamoja na magazeti kueneza propaganda zao, kumbe zote zinawafikia watu wanaoelewa nini ambacho kinaendelea ndani ya nchi hii,, wanajua sarakasi zinazofanywa na miccm, wanajua hujuma zote ambazo chadema wanafanyiwa, mm ningewashauri CCM ili wasipate upinzani wawapelekee wananchi maendeleo kule vijijini kama walivyoahidi kwenye ilani yao..lkn bila ya hivyo sarakasi znu hazitawasaidia kitu zaidi ya kuipaisha CHADEMA. Kwa kidokezo kifupi tu ni kwamba Chadema imesimamia madai ya wananchi waliopigika na hili ndilo linawauma mnataka waendelee kupigika. Mnatumia fedha za walipa kodi vibaya pamoja na rasilimali zake, mmeigeuza nchi hii kama kampuni binafsi ambayo watu wachache wanaaamua nini cha kufanya, mmeua tembo zetu, mmeuzaz twiga wetu, mmekimbiza fedha zetu nje ya nchi...nisiendelee sana kwani machozi yananitoka hapa, nina uchungu na na nchi yangu na watu wangu, KWANINI WAWE MASKINI WAKATI TUNA RASILIMALI ZA KUTOSHA?
 
naendekea kushuhudia mnyukano jf.mimi pembeni kimya ctaki mikosi ya ccm.
 
kiroho safi bila chuki; ZZK, Shibuda, Mkumbo, Mwigamba... Mashishanga ajipime kasha ajivue gamba...
 
Kila mkuu na zama zake.....
Look at this... Mrema started on a high pitch but now he is counting hours. Prof Lipumba had great ideas but he has overstayed in the race.

emerging democracies like ours, are quite unpredictable. Distressed or disillusioned people ( tena wengi) are very impatient. They want results now. Ndio maana, they hardly bother to read ilanis, constitutions etc. what they all do is to concentrate on personalities that carry headlines of the day and if there is any perception of hope from those headlines, they rally behind the personality .

But, the personality must deliver, fast, otherwise he or she degenerates to oblivion. Hiyo ndio trend. Ndio maana, nchi Kama marekani, ukigombea Mara moja urais ukakosa, chama chako haziwezi kukupa nafasi nyingine.

The world and Tanzania is changing very fast. Lets ask ourselves, how many cellphones have we changed not because the previous one was not working! The same holds true with political leadership. It's part of human nature especially the younger generation to look for new things, faces, ideas even the way of doing things. In short, change at the helm of our political parties is inevitable if you resist you will only be swept out unceremoniously

tutafakari!
 
Back
Top Bottom