Masalia ya List of Shame

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Nchi yetu haina uwajibikaji kwa kiwango kikubwa.

Inashangaza mtu aliyetangazwa haradharani kuwa ni fisadi anataka kwenda ikulu bila hata ya kujisafisha.

Kuna watu wamo kwenye List of Shame lakini bado wanang'angania uongozi .

Mwizi ni mwizi tu na ndio maana wengine na ndio maana wengine waliendeleza kwenye Escrow.
 
Watanzania ni wasahaulifu sana...
Mtu amefisadi kupitia kampuni yake hewa ya richmond akachafuliwa na bunge na mbaya zaidi akajiuzulu kwa kisingizio ameonewa sana...
Sasa kama haikuwa kweli kwanini asingeenda mahakamani kusafisha jina lake na kuwachukulia hatua wale wote waliomchafua kwa tuhuma za uongo?...
Kwanini watanzania wanatumia kigezo cha "maamuzi magumu"? Watuoneshe hayo maamuzi magumu aliyoyafanya...
Hasara aliyoipatia taifa ni kubwa sana, je akipewa mamlaka ya juu zaidi si atajimilikisha kodi zote zinazokusanywa na TRA?...
Tutajutia maamuzi yetu...
 
Hiyo list katengeneza nani, hao waandaji wake hakuna wanayemkubali presidaa walimkataa, bunge walikataa na wao ni wa kupuuzia tu.

Nchi yetu haina uwajibikaji kwa kiwango kikubwa.
Inashangaza mtu aliyetangazwa haradharani kuwa ni fisadi anataka kwenda ikulu bila hata ya kujisafisha.
Kuna watu wamo kwenye List of Shame lakini bado wanang'angania uongozi .
Mwizi ni mwizi tu na ndio maana wengine na ndio maana wengine waliendeleza kwenye Escrow
 
Nchi yetu haina uwajibikaji kwa kiwango kikubwa.

Inashangaza mtu aliyetangazwa haradharani kuwa ni fisadi anataka kwenda ikulu bila hata ya kujisafisha.

Kuna watu wamo kwenye List of Shame lakini bado wanang'angania uongozi .

Mwizi ni mwizi tu na ndio maana wengine na ndio maana wengine waliendeleza kwenye Escrow.
Hebu soma hapo, pengine ufahamu wako utafunguka kidogo, na utaujua ukweli.
quote_icon.png
By Mr. President

Watu wanamzushia uongo tu, sbb wanajua akishika dola, mali ya umma walioiba watarudisha wenyewe kabla hata hajaapishwa...!!!

Achia mbali kushtakiwa na vyombo husika, hajawahi hata kutuhumiwa sbb hajawahi IBA chochote..!!! eg ukienda

1: PCCB....hakuna jina lake...no records

2: COURTS...no records kuwa fisadi...

3: DPP.....no records dhidi ya EL

4: POLICE...no records....

5: TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA ( Ikulu under Good Governance ) ..wala hakuna jina lake kwa tuhuma zozote...

6: KAMATI YA MAADILI YA CCM...wala hakuwahi kuwa na tuhuma za kifisadi...

==> Hivyo hapo juu ndio vyombo halali vya dola ambavyo vina criminal records ya kila mmoja...!!! Ikiwa mtu hajawahi hata kutuhumiwa au kushtakiwa na vyombo hivyo vya dola ktk maisha yake hadi sasa...basi NI PROPAGANDA TU...!!!

EL ni mtu safi na wanao mchafua hawana hoja wala ushahidi wa kisheria kudhibitisha...wako tu kumchafua ili wao wagombee urais...!!! Ila wananchi wanaona, wanajua ukweli...ndio maana TAFITI ZOOOOOOOTE za urais aliongoza...!!! Huyu EL ana karma sana ya uongozi na kupendwa na watu...!!"

Hebu soma hapo, pengine ufahamu wako utafunguka kidogo, na utaujua ukweli.
Mkuu, kwani hivyo vyombo la vinabandika majina ya watuhumiwa hadharani mpaka ujue kuwa fisadi wako Lowassa hayumo? Umepitia majalada yao yote jina lake halimo?
 
Kama huamini. Hata wewe unaweza kufanya hiyo kazi ili kuuthibitishia UMMA hisia zako.
 
Hebu soma hapo, pengine ufahamu wako utafunguka kidogo, na utaujua ukweli.
mtu safi hawezi kulazimishwa na bunge ajiuzulu.MTU safi hawezi kuweka kwenye kifungo cha kisiasa na kamati ya maadili ya chama chake kwa kuhonga viongozi WA dini na bodaboda ili achaguliwe Rais. MTU safi hawezi kukataliwa na baba WA Taifa kugombea urais.
 
Hebu soma hapo, pengine ufahamu wako utafunguka kidogo, na utaujua ukweli.

Kama unaweza kumnunua Jaji.....kuna haja ya kuwa na mwanasheria????????????????

Lowasa amewanunua wanaoanzisha kesi...usitegemee ukaona jina lake huko.

Na vipi kuhusu kamati za Bunge?????
 
Na mimi najaribu kufikiria kwenye utawal wa huyu mheshimiwa kodi zitatozwaje kwani nahofu TRA hawatakuwa na nguvu ya kudai kodi kwa matajiri waliompeleka Rais Ikulu.
Watanzania ni wasahaulifu sana...
Mtu amefisadi kupitia kampuni yake hewa ya richmond akachafuliwa na bunge na mbaya zaidi akajiuzulu kwa kisingizio ameonewa sana...
Sasa kama haikuwa kweli kwanini asingeenda mahakamani kusafisha jina lake na kuwachukulia hatua wale wote waliomchafua kwa tuhuma za uongo?...
Kwanini watanzania wanatumia kigezo cha "maamuzi magumu"? Watuoneshe hayo maamuzi magumu aliyoyafanya...
Hasara aliyoipatia taifa ni kubwa sana, je akipewa mamlaka ya juu zaidi si atajimilikisha kodi zote zinazokusanywa na TRA?...
Tutajutia maamuzi yetu...
 
Ole sendeka ambaye alikuwa anamshambulia sana EL kipindi cha tuhuma za Richmond, juzi alipaza sauti na kusema EL hakuwahi kuchukuwa hata Tsh mia kwenye sakata la Ricmnd. mapovu yanawatoka mafisadi wa awamu ya 4 kwa sababu wanajua kitakachowatokea.
 
watanzania ni wasahaulifu sana...
Mtu amefisadi kupitia kampuni yake hewa ya richmond akachafuliwa na bunge na mbaya zaidi akajiuzulu kwa kisingizio ameonewa sana...
Sasa kama haikuwa kweli kwanini asingeenda mahakamani kusafisha jina lake na kuwachukulia hatua wale wote waliomchafua kwa tuhuma za uongo?...
Kwanini watanzania wanatumia kigezo cha "maamuzi magumu"? Watuoneshe hayo maamuzi magumu aliyoyafanya...
Hasara aliyoipatia taifa ni kubwa sana, je akipewa mamlaka ya juu zaidi si atajimilikisha kodi zote zinazokusanywa na tra?...
Tutajutia maamuzi yetu...

ni nani aliyekuambia kwamba richmond ni kampuni ya lowasa? Elimu finyu utafiti finyu
 
Nchi yetu haina uwajibikaji kwa kiwango kikubwa.

Inashangaza mtu aliyetangazwa haradharani kuwa ni fisadi anataka kwenda ikulu bila hata ya kujisafisha.

Kuna watu wamo kwenye List of Shame lakini bado wanang'angania uongozi .

Mwizi ni mwizi tu na ndio maana wengine na ndio maana wengine waliendeleza kwenye Escrow.
Weka list nzima tuwachambue
 
Na mimi najaribu kufikiria kwenye utawal wa huyu mheshimiwa kodi zitatozwaje kwani nahofu TRA hawatakuwa na nguvu ya kudai kodi kwa matajiri waliompeleka Rais Ikulu.

Tangu hapo TRA hawana nguvu yeyote ya kukusanya kodi hata kwa wafanyabiashara wakubwa hata wa hapo kkoo
 
Back
Top Bottom