M Mbalinga JF-Expert Member Apr 9, 2010 1,714 1,370 Jan 9, 2013 #141 Olemandalo said: mimi siwezi kuweka ushaidi huku kuna masihara mengi huku nataka nifanye mambo kisomi Click to expand... Acha uongo. Ben Saanae aliweka ushahidi humu humu na hatua zikachukuliwa. Hapa tunachekecha, ushahidi wa uongo utajulikana tu, wewe weka tu hapa.
Olemandalo said: mimi siwezi kuweka ushaidi huku kuna masihara mengi huku nataka nifanye mambo kisomi Click to expand... Acha uongo. Ben Saanae aliweka ushahidi humu humu na hatua zikachukuliwa. Hapa tunachekecha, ushahidi wa uongo utajulikana tu, wewe weka tu hapa.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,204 128,024 Jan 9, 2013 #142 Munyangaa said: kwanini mkikosolewa mnakimbilia kusema mtu analipwa??? hii inaonyesha nyie ndo mnalipwa mnadhani kila mtu anashikiwa akili yake kama nyie Click to expand... hujui kitu kaa kimya.
Munyangaa said: kwanini mkikosolewa mnakimbilia kusema mtu analipwa??? hii inaonyesha nyie ndo mnalipwa mnadhani kila mtu anashikiwa akili yake kama nyie Click to expand... hujui kitu kaa kimya.
mjombo's JF-Expert Member Oct 21, 2011 494 83 Jan 9, 2013 #144 The part z mecd up, trouble z in the part, confusion all around .................. 2015 itawezekana kweli kwa mwendo huu
The part z mecd up, trouble z in the part, confusion all around .................. 2015 itawezekana kweli kwa mwendo huu
meningitis JF-Expert Member Nov 17, 2010 8,349 4,674 Apr 10, 2015 #145 kajaji said: hakuna kitu kama hicho Click to expand... Lisemwalo lipo