Giddy Mangi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 830
- 184
mkurungenzi mtarajiwa wa TBC taifa - unataka aisemee ovyo ccm? karagabaho.Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?
Kubenea kibaraka wa Magwanda?
kubenea kibaraka wa magwanda?
Imenitakisha tamaa kabisa baada ya Uchambuzi wa Magazeti wakati Masako wa Itv akisoma uchambuzi gazeti la Mwananchi Masako amepata kigugumizi kwenye stori yenye kichwa cha habari "BASHE AIONYA CCM" na akasita tena na kuendelea na habari nyingine.Hii ina maana kuwa huyu ni kibaraka wa Ccm ama anashinikizwa kufanya aliyoyafanya ama?