sumu-ya-panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 638
- 581
Wachache ila wengi hamtambuiYaani masaibu kweli kweli, poleni sana jamani tunautambua mchango wenu kwetu
yaani kwa mawazo tunayokuaga nayo duh! nguvu za kiume zitaisha ka mshumaaaOngezea na kumridhisha mwanamke
wanawake wa dar wakoje?Hii ni post mahsusi kwa wanaume v wanawake wa dar.
Haaaaaaaaaa duniani mambo mengi sana kwa wanaumeyaani kwa mawazo tunayokuaga nayo duh! nguvu za kiume zitaisha ka mshumaaa
Wanatambua saana, sema ni mbwembwe tuuWachache ila wengi hamtambui