Mbangubangu
Senior Member
- May 6, 2013
- 188
- 70
kuna masai mmoja alipanda gari walipo fika kati ya safari wakaambiwa wakachimbe dawa.masai akaenda haja kubwa baada ya kumaliza akachukuwa majani akachambia kumbe majani yale ni ya kuwasha kurudi kwenye gari masai kiti hakikaliki kuona hivyo akaanza kupiga kelele dereva simamia gari kiti haikaliki..