Masai hagoma..............kanisani

Masai hagoma..............kanisani

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
kuna masai mmoja alikuwa nje ya mlango wa kanisa amekaa wakati ibada inaendelea mara mchungaji akapita mlangoni akamuona akamuuliza YERO mbona uko nje
MASAI; unasani mi ni mjinga nimesikia wakisema kuna SIMBA YA YUDA iko inaunguruma.
MCHUNGAJI; akabaki kushangaa.!
 
Tehe!tehe!tehe!tehe! Nitacheka hadi kesho!
 
Wala haichekeshi ! Halafu, kama ibada ilikuwa inaendelea Mchungaji alitoka wapi uko nje ?
 
Back
Top Bottom