RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 54,883
- 120,002
Wana chit chit namtafuta huyu mrembo wa kimasai anaitwa masai dada mtu yeyote akimuona sehemu anishtue tafadhali....
Utampata tu yupoWana chit chit namtafuta huyu mrembo wa kimasai anaitwa masai dada mtu yeyote akimuona sehemu anishtue tafadhali....
Itakuwa tayari kampata.
Hivi id unabadilishajeItakua katongoza katoa mzigo, sa ivi kabadili ID.
Una jirejista upya kwa jina tofauti.
Wewe kama mwalimu niambie ata Mimi nataka nibadiliUna jirejista upya kwa jina tofauti.
Au unamuandikia PM Invisible. Kuna watu hawapendi "kupoteza" idadi ya msgs na likes zaoUna jirejista upya kwa jina tofauti.
Subiri mi na ww kieleweke kwanza ndo utabadili. Badae ntaku pm.
cc Doris GabrielAu unamuandikia PM Invisible. Kuna watu hawapendi "kupoteza" idadi ya msgs na likes zao
pm kunefungwaSubiri mi na ww kieleweke kwanza ndo utabadili. Badae ntaku pm.
Ni pm namba yako plse