Huyu dada namfahamu
unamfahamu kvp?
Nakuja pm tafadhali, usimwage mpunga bure
Hahahahaha hata usije mie natania
Lakini kuna bahasha nakuja nayo ama??
Nangoja ageuke!!
Niliiba sehemu
Shosti hujambo?
sijambo mpenzi sikuoni wasap siku hizi
Hahahahahaaaaa hivi vyembamba vyembamba vinakuaga vitundu sana hata sivitaki mie