Masada S4 in ago ma playstore

Masada S4 in ago ma playstore

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,695
wakuu playstore imegoma kufunguka Kwa simu yangu s4. ..inaniandikia connections time out. .wakati internet inafunguka na iko 3G
Ni mpya naomba msaada wenu plz
 
wakuu playstore imegoma kufunguka Kwa simu yangu s4. ..inaniandikia connections time out. .wakati internet inafunguka na iko 3G
Ni mpya naomba msaada wenu plz

Nina muda sana situmii playstore. Download Aptoide kupitia browser ya kawaida.
Pia angalia inawezekana hiyo S4 ni Copy (Chun Chang)
 
Angalia vizuri kwenye email yako kama ina sync.
 
Nina muda sana situmii playstore. Download Aptoide kupitia browser ya kawaida.
Pia angalia inawezekana hiyo S4 ni Copy (Chun Chang)

asante mkuu...aptoid imekubali tayari nimedownload some apps
 
Asanteni
Tatizo haikuwa updated. .nimetumia aptoid nimeiapdate now iko vizuri tena kwa kasi
 
Back
Top Bottom