B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Aug 17, 2011 #1 Bwana Masaburi aka mzee wa makalio ametoa wito kuwa wale wanaomiliki vizimba pale machinga complex na hawavitumii WAPOKONYWE,masaburi anaendelea na ziara zake za dharura,ameshapita DDC na keo ametinga MACHINGA COMPLEX,sijui UDA atapita lini???
Bwana Masaburi aka mzee wa makalio ametoa wito kuwa wale wanaomiliki vizimba pale machinga complex na hawavitumii WAPOKONYWE,masaburi anaendelea na ziara zake za dharura,ameshapita DDC na keo ametinga MACHINGA COMPLEX,sijui UDA atapita lini???