Masaburi: Maneno yangu yako kama yalivyo, siombi radhi! (wabunge kufikiria kwa kutumia makalio)

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,003
Katika hali isiyo fikiriwa kwa mh dk d masaburi amesisitiza usemi wake wa wabunge wanafikiri kwa kutumia makalio yao unabaki hivyo hivyo hatoomba yoyote msamaha na yuko radhi kutoa ushahidi na kama wamekasirika waende mahakamani
mh masaburi anasema yuko kwa ajili ya kulinda wananchi na mali zao na kama kuna wanaomuonea wivu wajue sasa ameanza hiyo machinga ani trlla wasubiri picha zaiid alisisitiza mh masaburi

kazi ipo wazee wa magamba
 
wabunge wa magamba haya kazi kwenu namagamba yenu. kataeni kutumia ...........kufikiri. legelegeeeeeeee....mpka ....lio
 
Inawezekana jamaa ana nia njema na wananchi, hivyo hapendi mali za uma zifisadiwe,
Ila suala la kua ana uthibitisho kua wako wanaotumia makalio kufikiri kidogo lina utata.
Maana ubongo ndio unaofikiri, na uko kichwani, sasa sayansi ya kwamba ubongo umehamia makalioni kidogo ina walakini
 
inawezekana jamaa ana nia njema na wananchi, hivyo hapendi mali za uma zifisadiwe,
ila suala la kua ana uthibitisho kua wako wanaotumia makalio kufikiri kidogo lina utata.
Maana ubongo ndio unaofikiri, na uko kichwani, sasa sayansi ya kwamba ubongo umehamia makalioni kidogo ina walakini

swala ni nani ataanza ila

mkuu usipinge hawa wa magamba akuna wasichoweza wanaweza hata hilo ,
 
swala ni nani ataanza ila mkuu usipinge hawa wa magamba akuna wasichoweza wanaweza hata hilo ,

Wajua ukiuangalia ubongo kwa mbaali unafanana na utumbo,
Sasa inawezekana wengine kwenye vichwa vyao kuna utumbo badala ya ubongo, % kubwa ya magamba wapo kundi hili.
Na tunajua kinachokaa ndani ya utumbo ni nini,
 
naona unazidi kuwamaliza yaani makalio sawa na tumbo??
 
Inavyo onekana ni dhahiri fikra zao zipo kwenye makalio. Kwani wanaropoka misemo ambayo hata haileti maana kwao. KUJIVUA GAMBA. Ninavyo fahamu mimi,nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka. Je wao wanapo jivua gamba wana kuwa kina nani !"
 
Mav!
Wajua ukiuangalia ubongo kwa mbaali unafanana na utumbo,&lt;br /&gt;<br />
Sasa inawezekana wengine kwenye vichwa vyao kuna utumbo badala ya ubongo, % kubwa ya magamba wapo kundi hili.&lt;br /&gt;<br />
Na tunajua kinachokaa ndani ya utumbo ni nini,
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;
 

Ndo maana yake!!
Sasa imagine fikra za mtu wa namna hiyo zikoje?
Naunga mkono wabunge wapimwe akili, ila tuanze na wa magamba kwa ajili ya kuwa-isolate hawa wenye utumbo vichwani badala ya ubongo
 
Inavyo onekana ni dhahiri fikra zao zipo kwenye makalio. Kwani wanaropoka misemo ambayo hata haileti maana kwao. KUJIVUA GAMBA. Ninavyo fahamu mimi,nyoka akijivua gamba anabaki kuwa nyoka. Je wao wanapo jivua gamba wana kuwa kina nani !"

Yani ndio kwanza wanakua (nyoka)wapyaaaaaa na kamwe hawajamaanisha wanaacha kua nyoka, maana yake kugongwa palepale ila sasa kwa style mpya hii(nyoka mzee) mshaishtukia
 
Inavyo onekana ni dhahiri fikra zao zipo kwenye makalio.

seo4.jpg
signature.jpg

xiaoliu3.jpg
 
Wanafikiri kwa makalio. Hizo fikra wanazisema kwa kutumia nn? Maana mdomo ndo upo kichwan kwenye utumbo. Dah sipati picha...
 
Back
Top Bottom