naomba mnijuze niliambia ni hapa kinondoni karibu na baclays lakini nimeshindwa kutress direct kwani nilifika na kila ninae muuliza ana ni miss direct msada wakulu bhangeeee

Kinondoni?, labda kama wamehamia hivi karibuni, wapo hilo jengo la Baclays 5th floor, ohio street opposite na Serena hotel, zamani Sheraton. Au kama vip check kwenye website yao kila kitu hadharani.