Lakini mbona Account za watu zinachokonolewa Daily!
Unadhani hacking/attacking accounts ni kitu ndogo kama kugoogle jina la demu wako...:twitch:..
Kuna kipindi nilisikia Facebook na Instagram zimehakiwa hii ilikuwaje hii mkuu Chief-Mkwawa
Website yoyote inaweza kuwa hacked lakini si kirahisi kama tunavyodhani.Kuna kipindi nilisikia Facebook na Instagram zimehakiwa hii ilikuwaje hii mkuu Chief-Mkwawa
Shule zimefungwa sasa
Unadhani hacking/attacking accounts ni kitu ndogo kama kugoogle jina la demu wako...:twitch:..