Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 604
- 218
Samahani za muda huu na shida ya kufungua account ya paypel maana kuna vitu ving nataka kufanyia hii account sasa nimeambiwa natakiwa niwe na line ya safaricom hilo nifungue account ya paypel sasa mimi na maswali naomba umnisaidie
1. Je, line za safaricom zinaweza pokea hela zikiwa Tanzania na kama zinapokea je nitazitoaje hizo hela kutoka safaricom(maana tunajua hizi ni line za kenya)?
2 Na nipataje hizi line za safaricom na je, gharama zake ni Tsh ngapi?