Kama una wasi wasi kuwa mdogo wako hajui anachotaka wala anachopaswa kufanya huna haja ya kupoteza fedha na muda. Nadhani kwa umri na hali ya kufikia kutaka kujiunga chuoni atakuwa anajua anachofanya. Kama hajui basi ni balaa na hasara. Nadhani ushauri huu
utakufaa. Nakutakia mchana mwema maana si wote tuko Bongo.