Masaada please

MAMENGAZI

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
780
128
Naomba msaada, laptop yangu inakataa kuingiza umeme, nikiwasha umeme tu taa ya adapter inawaka kidogo then inazima na zoezi huwa linaishia hapo. nifanyeje?
 
Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,938
1,427
Soma manual za laptop ambayo hujataja yako kuangalia procedure za troubelshoting

Tafuta jinsi ya kidischarge kabisa laptop alafu jaribu kuwasa. kama bado mambo ni yale yale

Tatizo laweza kuwa power adaptor au power suppply ndani ya MOBO au

So dowalod manual ya laptop mtandano soma troubleshoting tips zake.
 
mysteryman

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
977
176
Bonyeza kitufe cha kuwashia na uhold kama sekunde 30 hivi bila kuchomeja adapter kisha subiri kama sekunde 30 tema kisha chomeka na washa
 
MAMENGAZI

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
780
128
Soma manual za laptop ambayo hujataja yako kuangalia procedure za troubelshoting

Tafuta jinsi ya kidischarge kabisa laptop alafu jaribu kuwasa. kama bado mambo ni yale yale

Tatizo laweza kuwa power adaptor au power suppply ndani ya MOBO au

So dowalod manual ya laptop mtandano soma troubleshoting tips zake.

Thanks Mtazamaji, laptop yangu ni hizi dell latitude, nitafanya kama ulivyoniagiza nione kama nitafanikiwa.
 
Spear_

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
1,591
434
Battery yako ina shida..... jaribu kuweka battery nyingine kisha ujaribu kucharge
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom