Hii simu bana nikienda sehemu ya baridi ina ji freeze kabisa yaani ina ji restart kila wakati yaani kifupi haitaki baridi kabisa msaada wadau nifanyeje?.