howardlite
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 248
- 413
Ni ukweli kuwa wengi wetu tumekuwa busy kwa ajili ya kesho ambayo inaadhimishwa kama Christmass day na kesho kutwa Boxing day.
Wapo walioweka tayari booking achepuke na nani,wapo pia wanaowaza wafanye hivyo japo hajajua bado atoke na nani.
Kuna anayepanga akaweke heshima baa,lakini yupo aliyenunua kreti kadhaa na kuziweka ndani kwa ajili ya kesho na kesho kutwa,fine japo sio lengo la siku hizo mbili.
Wako wanaopanga kwenda disko,clubs,bichi,kutembelea mahali fulani ambavyo ni jambo zuri all is about enjoyment and entertainment.
NDANI YA MASAA HAYO YASIYOZIDI 48 YAANI KESHO NA KESHO KUTWA TAHADHARI NI YA MUHIMU SANA TENA SANA.
Kuna baadhi ya watu watakayo yafanya kwa masaa hayo machache wanaweza kujutia maamuzi yao kwa maisha yao yote.
Kama uliweza kuchukua tahadhari KABLA lakini hukuchukuwa na madhara yakatokea kinachofuata ni mtu kujilaumu.
MAISHA YANA MAANA ZAIDI YA MASAA HAYO 48!!!!!!
Panga kwa hekima,tenda kwa hekima na busara ukijua uko kwa makusudi on this planet.
NB😀edicated to few people it may be not you.
Dr.Micky